Mamia yahudhuria mhadhara wa katiba

Kakke

JF-Expert Member
Dec 4, 2010
1,883
1,482
[h=1][/h]Posted on March 25, 2012 by zanzibaryetu
Wazanzibari wakisikiliza viongozi wa Dini ya Kiislamu katika mhadhara uliofanyika katika viwanja vya Alabama Michenzani leo mhadhara ulioandaliwa na taasisi za kidini zilizopo Zanzibar kuzungumzia suala la mchakato wa katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
 
Dah! kweli 'Mamia yahudhuria' yamekuwa makundi ya ng'ombe? rekebisha kiswahili yakhe.
 
Kama wana akili wavunje muungano to. Vingenevyo wataendelea kuwa watumwa wetu kama Nyerere alivyowahadaa.
 
Back
Top Bottom