Mameneja 29 TANESCO wasimamishwa kazi kwa hujuma

Badra hana tofauti na Jeshi la polisi linatangaza kupeleka mtuhumiwa mahakamani huku linamfunika kanga asijulikane sasa kutangaza kufukuza mameneja bila kuwataja nini maana yake!
 
hata kama kweli wamewafukuza,walikuwa wapi mpaka hayo makosa yanafanyika?inabidi tufike mahali tuzuie makosa na sio tutatue matatizo,note intelligent men solves problems but genious prevent problems
 
Usishangae Mkuu Tanesco wana lundo la utitiri wa Mameneja lakini Ufanisi mdogo Kuna wakati fulani niliwashauri wapunguze idara kwa maana ya kupunguza hao 'Mafisi'......kwa hiyo wanaweza punguza na wasitangaze wapo wengi haina shida......!!!!
mameneja 29 sio mchezo
Tanesco ina mameneja wangapi?
maybe les than 35 sasa ukisimamisha 29 siio kitu rahisi
halafu wasitajwe majina?
 
Kinachosikitisha ni kwamba Ethiopia wamekazania kuzalisha umeme wa hydro tena kwa mabwawa ya kujenga wenyewe kiasi kwamba wanauzia nchi jirani huku sisi wenye vyanzo vikubwa vya hydro vya asili tumeshakubalishana kwamba umeme wa hydro haufai. Hakuna kitu kibaya kama kuzamisha fikra na roho kwenye tamaa za kifisadi. Tunahangaika na juhudi muflis za kufufua ATC wakati nchi masikini zaidi yetu kama Ethiopia ina mashirika ya ndege na meli (shipping line) ya kiwango cha kimataifa pamoja na kutokuwa na bahari (landlocked).
 
Wananunua umeme Ethiopia? What a shameful nation full of resources but rich of boguses!
Ukikumbuka vizuri Mwalimu katika usemaji wake aliwahi kugusia kuwa "tusipoangalia itafikia sehemu watatufuga kama wanyama pale Serengeti" ...alimaanisha wazungu kutufuga watz ikijumuisha na ccm
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom