Mambo yote Columbus Ohio - July 4th weekend

.... Masanja, kumbuka kuna wanywa juice... si wote wanazimia ndovu na chang'aa, kuna ma- teetotal ati ...... lol

Mi ni mdau wa Kimpumu! tunadumisha mila wakati tunalinda bajeti at the same time! Ndovu labda moja ya kutoa harufu kama una miadi na wakubwa! Lol
 
Siku ya july the 4th ni siku ya kushehereke UHURU WA MAREKANI!
MIMI NISHEHEREKEE VIPI UHURU WA MAREKANI NA HUKU NIKIJUWA WA TANZANIA HATUNA UHURU WETU?
MHN! Viingilio vya SULLIVAN?
Ama kweli! Sullivan naye alikuwepo?
 
Piga galagaza hii topiki ni kwa nini ikawachiwa katika anga hizi wakati jukwaa hili ni la watu na hasira zao ,kama ni moderator ni juzi tu paliandikwa kujiunga kwa Mr Slaa na pakaonjeshwa hoja ya kupandikiziwa cheo ,watu wakaja juu ile mbaya na kusema sheria ifuate mkondo wake hakuna kuvushwa mtu.
Na hapa tunataka kuona sheria inafuata mkondo kwa kuiondoa hii habari ya vilabuni na kuipeleka kule kwenye matangazo ,yap hili ni Tangazo.
Vinginevyo hakuna haja ya kukoromeana , kudai mafisadi ni watu wabaya hawafuati maadili ya uongozi ,I hope this topic to be transported by Law.
 
Siku ya july the 4th ni siku ya kushehereke UHURU WA MAREKANI!
MIMI NISHEHEREKEE VIPI UHURU WA MAREKANI NA HUKU NIKIJUWA WA TANZANIA HATUNA UHURU WETU?
MHN! Viingilio vya SULLIVAN?
Ama kweli! Sullivan naye alikuwepo?

jMushi1 hapa umetuingiza mjini mtu wangu.......Uhuru wa Marekani hutaki kusherehekea wakati huo huo uko huko UESIEI unakula matunda ya huo uhuru! mkuu si urudi tupange foleni hapa mjini tudai haki zetu kwa JK na jamhuri yetu;-)..Duh kazi kweli kweli! Mkuu au ni yale yale baniani mbaya...ila kiatu chake dawa! Haya bana wewe vuta raha! wadanganyika tuendelee kupigika....na maneo yako ya kisiasa...
 
jMushi1 hapa umetuingiza mjini mtu wangu.......Uhuru wa Marekani hutaki kusherehekea wakati huo huo uko huko UESIEI unakula matunda ya huo uhuru! mkuu si urudi tupange foleni hapa mjini tudai haki zetu kwa JK na jamhuri yetu..Duh kazi kweli kweli! Mkuu au ni yale yale baniani mbaya...ila kiatu chake dawa! Haya bana wewe vuta raha! wadanganyika tuendelee kupigika....na maneo yako ya kisiasa...

Uhuru gani huo unaoniambia nausheherekea?

Mimi kuwa hapa USA isikupe shida...Mimi ni balozi wa upande wa WANYONGE...Na si Balozi aliyetanganza kifo TATA cha BALLALI!

Nilishaweka wazi kuwa siwezi kwenda kusheherekea sikukuu ya uhuru ya USA..Kwa style ya kibongo kwani BONGO HAIKO HURU!

Na hata watu wanajuwa hilo! Sinclair alipopewa ripoti kabla yetu...Then huo si uhuru wetu! Huo ni MSIMAMO WANGU NA PIA NAOMBA UHESHIMU HILO!

Sina muda wa kula Raha sasa hivi! Hata hivyo nasheherekea si kwa style ya FULL KUJIACHIA!

Na pia dunia ya sasa hakuna kuwa present neccessarily!

Kumbuka nyimbo ya LUCKY DUBE INAYOANZA KWA MANENO HAYA....

Freedom FIGHTERS...Standing on the MOUNTAIN...IN A FOREIGN COUNTYR...Trying to SEND A MESSAGE To its PEOPLE...Talking in a GHETTO!
He had a HOME ONE TIME!

Ujumbe huo hapo juu wa nyimbo hiyo ya Luck Dube unaonyesha wazi kuwa we had a HOME one time!

We have lost our freedom...AND WE WILL SEND A MESSAGE NO MATTER WHERE WE ARE!
 
Na hao waliomuuwa LUCKY DUBE kwa madai kuwa aliuwawa na majambazi ni utata tu!

Ni kama Bob alivyouwawa! Dube alikuwa mpigania uhuru na hata message zake ni hizo hizo!

Mashaka yangu ni kuwa anaweza akawa ameuwawa na mamluki!

Lucky Dube alipigwa risasi huko SOWETO kwa madai ya kuwa majambazi yalimvamia!

Kuna mtu asiyemjuwa Lucky Dube SOWETO?

Sina sawa na wale maafisa wa polisi walipomuuwa bosi wao KOMBE NA HUKU WAKIDAI NI JAMBAZI? Kuna mtu alikuwa hamjui Kombe pale Moshi? Na gari yake? Tena kumtimua na kummiminia risasi na huku hata gari lake na namba za gari zake zinajulikana na si tu IGP na RPO....BALI HATA RC MWENYEWE!

Na ndio maana hata wasauzi wakawafukuza mamluki wageni kwani kuna mambo ya ajabu ajabu yanayofanywa na watu hao wanaodai kuwa wamemkimbia MUGABE HUKO ZIMBABWE NA WENGINE WALIOKIMBIA BONGO KWA MATATIZO YA KIUCHUMI NA HUKU NCHI WAMEMWUZIA MKABURU!
 
Jamani what happened? Mwafrika wa Kike, FMES, Mwanakijiji, Nyani, YourName, et al..bado mna hangover? mbona hamtuletei nyeti za Ohio?

Nimekwenda kwa Michuzi watu wanalaani ile mbaya kwamba party ilikuwa ni aibu kubwa, KWAMBA WALIIBIWA PESA YAO......Nikasema ngoja niende JF tukate mzizi wa fitna! Maana hapa kuna watu wana the dataz!!! na we dare talk openly! Jamani tupeni habari..sasa kama mlitwambia wakati mnaenda, si ni vyema mtwambie na how did it go?

We are waiting tupate kauli zenu! Kabla hatujaanza conspiracy theories!

Masanja,
 
Jamani what happened? Mwafrika wa Kike, FMES, Mwanakijiji, Nyani, YourName, et al..bado mna hangover? mbona hamtuletei nyeti za Ohio?

Nimekwenda kwa Michuzi watu wanalaani ile mbaya kwamba party ilikuwa ni aibu kubwa, KWAMBA WALIIBIWA PESA YAO......Nikasema ngoja niende JF tukate mzizi wa fitna! Maana hapa kuna watu wana the dataz!!! na we dare talk openly! Jamani tupeni habari..sasa kama mlitwambia wakati mnaenda, si ni vyema mtwambie na how did it go?

We are waiting tupate kauli zenu! Kabla hatujaanza conspiracy theories!

Masanja,
...yaani, wamekaa kimya utafikiri yalikuwa makutano ya "agenda 21" !!!!
 
Wakuu,

this thing was a nice party to say the least.The reunion of peoples
was priceless especially at the park. Usiku maswala ya disco nasikia
yalileta mushkil maana ukumbi ulikua hautoshi...that was the major
complaint.A'fu pia muziki ulikua na matatizo kidogo.

Personally I had a ball!

KIFARU

n1246250343_30089930_8936.jpg



n1246250343_30089931_9808.jpg



n1246250343_30089933_1773.jpg

The Beauty of The Tanzanian Offspring!!!!
n1246250343_30089943_8920.jpg
 
The Beauty of The Tanzanian Offspring!!!!
n1246250343_30089943_8920.jpg
[/QUOTE]


Huyo mwenye mtoto ndo mwafrica wakike au ndo mke wa mwanakijiji au Nyani? Lol
 
Tunashukuru mzee Ab-Titchaz kwa mapicha....mkuu ni kweli party lilikuwa na ufisadi ndani yake? nimeona kwa michuzi watu wanaponda sana.....ahsante sana tena kwa picha ya mwisho
 
The Beauty of The Tanzanian Offspring!!!!
n1246250343_30089943_8920.jpg


Huyo mwenye mtoto ndo mwafrica wakike au ndo mke wa mwanakijiji au Nyani? Lol[/QUOTE]
MWK 100% si unamcheki hataki mchezo ya ahadi za Jk
 
Tunashukuru mzee Ab-Titchaz kwa mapicha....mkuu ni kweli party lilikuwa na ufisadi ndani yake? nimeona kwa michuzi watu wanaponda sana.....ahsante sana tena kwa picha ya mwisho


Hio ishu ya ufisadi pia nami nimeisikia lakini it all depends na mtazamo wa mtu.
Kwa mfano kuna baadhi ya host walioona kua kwa vile wamefanya maandalizi
kwa mfuko wao basi hawakuona tatizo la kutoza watu 'vijisenti' kwa vitu kama vinywaji.

Tatizo langu na lile swala la ukumbi ni kua jamaa hawaku-anticipate the size
of the crowd.Watu walizidi matarajio ya hosts by a very huge margin.Mle
ukumbini nasikia ulikua unaingia kusalimia watu tu kisha unatoka nje.Joto
lilikua kana kwamba limetumwa vile!Kisha nasikia speaker zilikua zinakata kila
baada ya m'da f'lani thus interfering na flow ze beat!

Personally I had fun and I must say the folks who showed up were looking healthy
kinoma.Nilipiga picha kibao si utani....jamaa walikua na afya zao poa sana.Kisha
huyo mtoto hapo juu nilimpenda sura zake nikasema why not kupiga picha?
The beauty of our people is unquestionable...ama unaonaje?
 
kama yaliyosemwa kwa michuzi ni ya kweli!Hii ni hatari sana inatoa picha mbaya sana kwa hao waandaaji!yaani kufisadi vidola vya wtz wenzao?hii ni balaa sana
 
kama yaliyosemwa kwa michuzi ni ya kweli!Hii ni hatari sana inatoa picha mbaya sana kwa hao waandaaji!yaani kufisadi vidola vya wtz wenzao?hii ni balaa sana

Lady mzuri..ulitaka watu wapewe msosi wa bure? hahahaha....huko ni Ulaya bana hakuna mambo ya kibongo kibongo kupewa pilau la bure kwenye harusi hata kama hukuchanga!

Ila kama walichangisha harafu service mbovu..watu wana haki ya kutoa duku duku zao.

Mwanakijiji..vipi..mbona leo umekuwa mpole? au kiingilio kilikuwa kikubwa kama mkutano wa Sullivan ukashindwa kuingia? haya bana..mi namsubiri mwaafrika wa kike. Niko naye mpaka kieleweke! maana hii thread ndo alituletea kule kwenye siasa na wewe mwanakijiji ukampa "thank you"
 
Unajua bana makosa kama ya ukumbi (location na size) na muziki kukatika katika pengine yanaweza kuwa na visingizio vinavyoweza kusameeka.

Lakini kosa la kuwaambia watu wakutane sehemu fulani kwa madhumuni ya kushiriki/kuangalia tukio fulani, halafu tukio sio tu halitokei bali pia waandaaji wanaingia mitini, ni kosa ambalo halisameeki. Kulikuwa hakuna ulazima wa kuwahamasa watu waende park ili kuangalia soka, halafu hakuna hata kitenesi uwanjani. Halafu kibaya zaidi watu wanaachwa solemba, huku waandaaji hawapokei hata simu zao.

Halafu na watu wanaominya Columbus nao hawakufikiria hata kuchangamkia tenda. Wageni wamekuwa deserted kwenye park bila ya drinks wala chakula. Sijui kwa nini hakujitokeza mwenyeji ambaye angeleta hata supu ya makongoro pale? Nina uhakika angejitengenezea vijisenti vya haraka haraka vya kulipa bills. Wakina dada wa Columbus inabidi wapate darasa kutoka kwa wakina dada wanaokaa miji ya Atlanta na Dallas. Kuna dada mmoja Atlanta huwa anakuja na sufuria la nyama na sambusa kwenye karibu kila shughuli (ukiondoa zile ambazo chakula ni guarantee).

All in all, it was nice meeting up with old and new fellas.
 
Muandaaji wa mpira alifanya ushenzi hakukuwa na game wala nini na hakutoa statement yoyote mpaka tunaondoka eneo la tukio.

Ila poa tuliona marafiki wa zamani sehemu ile.

Kwa sehemu nyingine watakao andaa kitu kama hioy tujaribu kuwa makini.

Mfumo wa hewa kwenye kumbi uwe mzuri na n.k
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom