Mambo yanayojiri Facebook

Zote mbili zinawezekana. Inategemea ID gani ameomba friendship!!.
 
Mkweo ana ngono zembe.
Wee Nkem, ulimi na maneno, angalia usije juta kwa kukwapulia jiko lako.
 
Mnh Bujibuji ndg yangu bora kuto-accept hiyo request...yaweza leta mambo si mambo huko mbeleni!!
 
Naye pia ni binadamu. Kuwa mkweo hakimuondelei kigezo cha kuwa rafiki yako. Hapo ni kum-accept tu, hakuna lingine.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom