Elections 2010 Mambo yanayoendelea kwenye kikao cha NEC Dodoma

SItaki kuamini kama shemsa Mwangunga,Aisha Kigoda,Magreth Sita na Mwantumu mahiza safari yao ya kujibu maswali ya nyongeza imeishia hapa!CONFIRMED
halafu huyu mama aliyepewa ubunge wa kuteuliwa mwanzoni mwa mwaka Janeth MBENE atakuwa amevunja rikodi kwa kuwa mbunge kwa muda mfupi kuliko wote,manake aligombea viti maalum NGO akachemka.
Ila tumwombe JK sasa amteue SHYROSE Kuwa mbunge wa kuteuliwa kwani ameshagombea nafasi nyingi kwenye chama tawala bila mafanikio.

Mkuu Mama Margreth Sita alishinda kwa kupitia kundi la UWT mkoani Tabora hakushindwa ktk Kura za maoni kama ulivyoonyesha hapo.Kwa maana hiyo ni rahisi kurudi Bungeni labda abanwe na kashfa ya Rushwa na watu wa Takukuru kama ilivyoripotiwa awali.
 
Back
Top Bottom