Tanzania sasa ni nchi ya ""MITUME""Kila kitu tume hii nchi itakuwa na tume ngapi?
Baada ya Shekhe Farid kuisikiliza ile Hotuba ya Tundu Lisu kwa muda wa masaa mawili huku akii rudia rudia aliamua kumtunukia Lissu Ushekhe bila kuhifadhi Juzuu wala mistari ya Quran kichwani
Tanzania sasa ni nchi ya ""MITUME""
mkuu tuewekee hiyo hotubayaani ile Hotuba ya Tundu Lissu lime print na kuigawa kwa wanzanzibar kama 28 hivi na wameniona mimi bonge la Shujaa mpaka na mimi wananiita Mwana Uamsho, ile hotuba ilikuwa na nondo kali
Salaam kwa wote,
Tundu Lisu ameweka mambo waizi.Siri zote ziliokuwa zikisemwa semwa mitaani ameweza kuzitaja hadharani tenda ndani ya bunge la Tanzania.Huko nyumba tulikuwa tukisikia tu kutoka kwa wazee wetu kwanba kuna watu walitiwa ndani baada ya mapinduzi na hawakuonekana tena maishani kama kina Kassim Hanga na wenziwe.Haya hayajawahi kusimuliwa kwenye vyombo vya serikali kama bungeni.Nani aliyatarajia kwamba kuna siku bungeni kutatajwa mauaji yaliyofanywa na serikali? Hakuna hata mmoja wetu.Na pia kuuliwa kwa Karume kiongozi aliye unganisha nchi mbili hizi kaambiwa kuwa pia kauliwa.Hiyo hatuoni haja ya watu kuhoji sasa na kuchunguza tuhuma hizo nzito zinayoihusu Serikali? Iweje zitolewe tuhuma nzito kama hizo ndani ya bunge na serikali ikae kimya? Waandishi wa habari na wanasheria wako wapo kuhoji na kudadisi mauaji haya? au hayajawafurahisha haya? Kama wanatafuta habari za kuandika basi waanze kuhoji tuhuma hizi kwa walio husika.Na pia kesi ifunguliwe mahakamani na waliohusika wafikishwe mahakamani kama wapo waliobaki bado.Serikali lazima itoe tamko lake kama tuhuma hizo si za kweli.Venginevyo kukaa kimya ni kukubali yaliosemwa.
Nampongeza Mheshimiwa Tundu Lissu kwa kuweka mambo hadharani kwani wengi walikuwa hawafahamu nini kimetokea tangu kuundwa kwa Muungano huu ambao unalazimishwa uwepo hata kwa kutoa roho za watu..
Tumeona faida za Muungano kwamba damu zimemwagika ili kuunusuru hata kwa yule kiongozi muasisi nae pia katolewa mhanga.Haya yote ya nini? Kama watu hwataki kwanini walazimishwe? kuna ajenda gani ya siri hapa? Waandishi wako wapi wakuandika haya? Tundu Lissu kishafungua njia ya watu kuhoji kulikoni? Serikali itwanbie.Wabunge na Wawakilishi wetu kuna haja ya kufuatilia kilichosemwa bungeni na kukifanyia kazi la sivyo roho za watu zitaendelea kutoweka kwa JINAMIZI hili la Muungano.
TUNATAKA KUONA MAGAZETI YAHOJI MADAI HAYA YALIOTOLEWA NA TUNDU LISSU KTK BUNGE.
yaani ile Hotuba ya Tundu Lissu lime print na kuigawa kwa wanzanzibar kama 28 hivi na wameniona mimi bonge la Shujaa mpaka na mimi wananiita Mwana Uamsho, ile hotuba ilikuwa na nondo kali
Baada ya Shekhe Farid kuisikiliza ile Hotuba ya Tundu Lisu kwa muda wa masaa mawili huku akii rudia rudia aliamua kumtunukia Lissu Ushekhe bila kuhifadhi Juzuu wala mistari ya Quran kichwani
Je kwa kauli hii ya Utundu Lisu imekuongezea tsh ngapi? wote hawa wanasiasa lao moja hawana lolote whether Upinzani o C C emu
yaani ile Hotuba ya Tundu Lissu lime print na kuigawa kwa wanzanzibar kama 28 hivi na wameniona mimi bonge la Shujaa mpaka na mimi wananiita Mwana Uamsho, ile hotuba ilikuwa na nondo kali
Je kwa kauli hii ya Utundu Lisu imekuongezea tsh ngapi? wote hawa wanasiasa lao moja hawana lolote whether Upinzani o C C emu
hahaha mkuu anaitwa joseph mihangwa...yule mzee ni moto sanaHuwa napenda sana kusoma makala za Joseph Kuhangwa. Zina mambo