Mambo yaliyosababisha sitta kung'olewa uspika wa bunge

Gwaje

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
299
85
Imenichukua muda sana kutafakari kwa kinana kwanini spika sitta alikosa sifa za kuendelea kuwa spika na kuwa spika wa muda mfupi zaidi tanzania.
Sikuwahi kupata majibu, kwani nilitarajia pengine jk aliamua kufanya hivyo ili kubadili utendaji na kuongeza ufanisi.

Baada ya haya sasa akili imekuja na kuitambua picha hii ya jk na richmond na sasa dowans.
Kwakuwa sitta alisababisha richmond kukosa 154milion kwa mwezi wakapanga pesa nyingi za mkupuo kupitia kesi,lakini sitta angekuwa spika inamaana leo bunge lingepiga kura ya kukataa malipo na hivyo kukwamisha mpango wakaamua kumng'oa.
Kama haitoshi aliye kuwa mwenyekiti wa kamati ya bunge, mh mwakyembe walijua akiwa mbunge angeweza kuibua hoja na kuuliza maazimio ya bunge na hivyo pia ingetia ugumu wa kupata pesa wakampa naibu waziri na wizara ambayo itambana sana asiweze kufuatilia hili.
Kumbe mawaziri hawapaswi kujadili chochote nje ya baraza la mawaziri hivyo walijua kwa kufanya hivyo sitta na mwakyembe watazibwa mdomo na wakisema kama walivyosema wanakemewa kama walivyokwisha kukemewa.
Hii ndio tanzania yetu
 
Ndiyo, it is lamentable, that to be a good patriot one must become the enemy of the rest of mankind.

kwanini serikali imekubari kulipa kilahisi?bunge a spika makinda limeridhia? mbona hatuoni cheche za kutaka kujua serikali imetekelezaje maadhimio ya bunge?
 
Imenichukua muda sana kutafakari kwa kinana kwanini spika sitta alikosa sifa za kuendelea kuwa spika na kuwa spika wa muda mfupi zaidi tanzania.
Sikuwahi kupata majibu, kwani nilitarajia pengine jk aliamua kufanya hivyo ili kubadili utendaji na kuongeza ufanisi.

Baada ya haya sasa akili imekuja na kuitambua picha hii ya jk na richmond na sasa dowans.
Kwakuwa sitta alisababisha richmond kukosa 154milion kwa mwezi wakapanga pesa nyingi za mkupuo kupitia kesi,lakini sitta angekuwa spika inamaana leo bunge lingepiga kura ya kukataa malipo na hivyo kukwamisha mpango wakaamua kumng'oa.
Kama haitoshi aliye kuwa mwenyekiti wa kamati ya bunge, mh mwakyembe walijua akiwa mbunge angeweza kuibua hoja na kuuliza maazimio ya bunge na hivyo pia ingetia ugumu wa kupata pesa wakampa naibu waziri na wizara ambayo itambana sana asiweze kufuatilia hili.
Kumbe mawaziri hawapaswi kujadili chochote nje ya baraza la mawaziri hivyo walijua kwa kufanya hivyo sitta na mwakyembe watazibwa mdomo na wakisema kama walivyosema wanakemewa kama walivyokwisha kukemewa.
Hii ndio tanzania yetu

ndo hivo kwani si wote walioko ccm ni mafisadi ingawa mafisadi ndo wengi ila nawalaumu Mwakyembe na Sitta kukubali nyadhifa ambazo zinawafunga midomo vinginevyo wangekataa!
 
Siasa za CCM ni ngumu hazitabiriki,Sita na Mwakyembe wanalielewa hilo,wakileta kujua chama kitawavua uanachama,wanalisoma hilo kwa herufi kubwa.Wako tiyari kupambana ndani ya vikao vya chama kuliko kukataa nyazifa walizopangiwa.
 
Makinda amekaa kama picha pale ,hana analojua maana hata form alichukuliwa na RA na yeye amekubali....sasa ana jipya gani??yule ndondocha tu pale anasogeza siku basii utaonaa atavyochemshaa vikaoo vikianzaa maana amewekwa ata panic na jazba kupitisha uozoo utaona stay tuned
 
Imenichukua muda sana kutafakari kwa kinana kwanini spika sitta alikosa sifa za kuendelea kuwa spika na kuwa spika wa muda mfupi zaidi tanzania.
Sikuwahi kupata majibu, kwani nilitarajia pengine jk aliamua kufanya hivyo ili kubadili utendaji na kuongeza ufanisi.

Baada ya haya sasa akili imekuja na kuitambua picha hii ya jk na richmond na sasa dowans.
Kwakuwa sitta alisababisha richmond kukosa 154milion kwa mwezi wakapanga pesa nyingi za mkupuo kupitia kesi,lakini sitta angekuwa spika inamaana leo bunge lingepiga kura ya kukataa malipo na hivyo kukwamisha mpango wakaamua kumng'oa.
Kama haitoshi aliye kuwa mwenyekiti wa kamati ya bunge, mh mwakyembe walijua akiwa mbunge angeweza kuibua hoja na kuuliza maazimio ya bunge na hivyo pia ingetia ugumu wa kupata pesa wakampa naibu waziri na wizara ambayo itambana sana asiweze kufuatilia hili.
Kumbe mawaziri hawapaswi kujadili chochote nje ya baraza la mawaziri hivyo walijua kwa kufanya hivyo sitta na mwakyembe watazibwa mdomo na wakisema kama walivyosema wanakemewa kama walivyokwisha kukemewa.
Hii ndio tanzania yetu

Ni mawazo binafsi lakini yana ukweli ndani yake kwa asilimia 99.
 
Back
Top Bottom