Mambo ya Zitto Kabwe haya

Mzito Kabwela

JF-Expert Member
Nov 28, 2009
18,857
7,615
2yknuw7.jpg
 
Watakuja hapa wa rangi ya kijani wakidai katekeleza Sera yao!! hawaishiwi maneno bana!:glasses-nerdy:
 
Hii ndio kampeni ninayoitaka tanzania. Umefanya nini? Wenzetu kila kukicha wao ni ahadi tu.
Chadema chama cha matumaini.
 
safi sana hiyo kazi za chadema zinazofanyika Kigoma kaskazini,...Na kigoma nzima ambako nadhani wanaongoza halmashauri kwa kupkezana..,TARIME...ambako wana halmashauri...na kule KARATU ambako pia wanaongoza halmashauri ...wameonesha mfano......na wamekuwa chuo cha mafunzo kwa ccm.....tunaweza kuwaamini zaidi ndugu watanzania!
 
...tehee na mwanafunzi mwenyewe anafeli kila siku kwa (-ve)marks
 
Watanzania tujitokeze sasa, mambo ya kupiga kelele kila wakati! hayafai, wakombozi ni Chadema.
 
...tehee na mwanafunzi mwenyewe anafeli kila siku kwa (-ve)marks

Kuna elements nyingi tu za mheshmiwa Zitto sizipendi, lakini hata nikikurupushwa saa 8 usiku ntampigia kura. Aliyofanya yanaonesha wazi kuwa anatoa mchango katika kuwasaidia wanajimbo na hata kuisaidia nchi yake. Anastahili kuchaguliwa tena.
 
watanzania tumejaliwa midomo ya kuchonga hata ukipewa mada itayohusu kunanihii wazazi wako utachonga tu!!!!!!!!!!!
tarehe 31 october siku ya kujua mbivu na mbichi!kura ni siri yako
 
Yamefanyika katika jimbo lake akiwa Mbunge kwa kugharamiwa na Serikali, haina maana ni juhudi binafsi tusiwapotoshe wananchi.:confused2:
 
Yamefanyika katika jimbo lake akiwa Mbunge kwa kugharamiwa na Serikali, haina maana ni juhudi binafsi tusiwapotoshe wananchi.:confused2:

Yamegaramiwa na serikali kutoka kodi za wananchi, na kazi yake ilikuwa kuiamsha, kuihamasisha na kuisimamia serikali itekeleze hayo:becky:
 
yamegaramiwa na serikali kutoka kodi za wananchi, na kazi yake ilikuwa kuiamsha, kuihamasisha na kuisimamia serikali itekeleze hayo:becky:
''je hii nayo ni aina ya rushwa ya viongozi kama mishahara ya wabunge''
 
Zitto my friend, I wish i was at Kigoma Northern , I could absolutely vote for you. You are a man to be in parliament
 
Back
Top Bottom