mambo ya wekend..........jamani ushauri unahitajika

Jamaa kaenda kwa mpenzi wake, amefika katuta kufuli mlangoni, kaamua kumpigia mpenzi wake.
jamaa: hi cwty mambo?
Demu: pouwa my luv
Jamaa: uko wapi mamy
Demu: niko home nimelala
Jamaa: vipi unaumwa?
Demu: no nimepumzika tuu,
Jamaa:eek:key baby i luv u..
Demu: luv u too

jamaa kaamua kukaa pale mlangon hadi ilipofika saa nne usiku Demu anakuja Jamaaa kaishia kumwangalia tuu then akaondoka bila hata ya kusema neno. Demu alipo ajui afanye nini ukizingatia anampenda sana jamaa na anadai ni shetani tuu aliyesababisha hayo.. naombeni ushauri wenye busara ili niweze mshauri huyu mdada... asanten


Hapo kwa red kaka mhhh....anampenda na ndio maana akaenda kwa msela mwingine...SHETANI ALIMPITIA SASA huyo shetani si atakuwa anampitia kila siku tuuuu...mwambie aachane naye hana maana huyo...
 
Hili ni tatizo uongo mwingine una cost sana ..sijui kama jamaa atarudia kumuamini tena?
 
1.Huyo msichana hafai...ni MWONGO SANA.
Kuna wakongwe walipata kusema ..bora mwanamke mwizi kuliko mwongo!
2.Huyo msichana hampendi jamaa, kuna watu anaowapenda, na ndo huko alienda.period!
3.Jamaa alifanya vizuri sana kusubiria palepale ili kuwa na ushahidi 'substancial', hapo yuko huru kabisa kuchukua uamuzi anaoona unafaa!
4.Pole kija\na...najua inauma mnoooo!..lakini on the other hand, Mungu amekuonyesha kwamba hayo hayakuwa mahusiano sahihi!
5.Nimemaliza.

very true PakaJimmy, huyo dada hafai kansani wala mthikitini, bora huyo broda aachane naye tu coz baadaye atakuja kudanganya makubwa zaidi ya hilo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom