Mambo ya wanaharakati Muhimbili...

ngoshwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2009
4,131
931
[h=3]WANAHARAKATI WAANDAMANA KUSHINIKIZA SERIKALI ICHUKUE HATUA JUU YA MGOMO WA MADAKTARI WA MUHIMBILI[/h]
[h=3][/h] Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Msaada wa Sheria na Haki za Binadamu (<wbr>LHRC), Dk Hellen Kijo-Bisimba akizungumza na waandishi wa habari katika maeneo ya Salender Brige, kuelezea maadamano ya wanaharakati hao ya kuishinikiza serikali kuchukua hatua na kutatua mgogoro wa mgomo wa Madaktari wa Hospitali ya Muhimbili, ulioanza hivi karibuni na ambao bado unaendelea. Ameongeza kwamba hali ya wagonjwa inaendelea kuwa mbaya zaidi kwa sababu ya mgomo huo, Dk Hellen Kijo-Bisimbamara baada ya kumalizika kwa maandamano hayo yaliyofanyika leo.
Mkurugenzi wa TAMWA, Analilea Nkya akiwa ameshikilia bango lake wakati wa maandamano hayo jijini Dar es salaam leo.
Polisi wakiwaamuru waandamanaji watawanyike mara baada ya kufika katika eneo la Salender Brige jijini Dar es salaam leo.
7.jpg


Mkurugenzi wa TAMWA,Mama Ananilea Nkya (kulia) akizungumza na baadhi ya vyombo vya habari mbalimbali kuhusiana na maandamano yao yaliyodumu kwa muda wa masaa mawili hivi kwa ajili ya kuishinikiza Serikali ikae meza moja na madaktari na kuhakikisha mgomo wao unakoma mara moja na kuhakikisha shughuli za matibabu hospitali ya Muhimbili na nyinginezo zinaendelea kama kawaida.
9.jpg

Amri ikitolewa kuwataka wanaharakati kuondoka eneo hilo,kwani ilielezwa kuwa maandamano hayo yamefanyika bila kubarikiwa.

10.jpg

Askari wakiwa eneo la tukio mapema leo jioni.

4.jpg

Ujumbe kutoka kwa wanaharakati hao.

5.jpg


Mwanaharakati akiwa na ujumbe wake.

6.jpg


3.jpg
 
dah hayo maneno ya kwenye mabango yanasikitisha sana, Mungu tunusuru jamani na hili janga, Raisi si ukaombe msaada wa madaktari kutoka nje kama unavyofanyaga kwenye mambo mengine.
 
Nyerere alishamwona huyu mkuu wa nchi yetu kuwa hafai kuwaongoza watanzania sasa tunayaona. Swala sirious case kama hii siyo la kulikalia kimya mda mrefu namna hii. watanzania tuingie barabarani tuwaokoe ndugu zetu wanao teseka hakuna njia nyingine, maana viongozi wetu wote wamechemka ni aibu kwa nchi, Hata hivyo nina wasiwasi mkubwa na elimu ya viongozi wetu hawa.
 
loh! NIMEIPENDA HII 'TUFE ILI UJE MSIBANI'
NA ANAPENDA KWELI YAN KUZURU MISIBANI MMH.
INATIA HURUMA HALI YA TAIFA HILI.
 
wanaharakati waandamana kushinikiza serikali ichukue hatua juu ya mgomo wa madaktari wa muhimbili

kikwete kachoka sana achia ngazi tuchague raisi makini

mkurugenzi mtendaji wa kituo cha msaada wa sheria na haki za binadamu (<wbr>lhrc), dk hellen kijo-bisimba akizungumza na waandishi wa habari katika maeneo ya salender brige, kuelezea maadamano ya wanaharakati hao ya kuishinikiza serikali kuchukua hatua na kutatua mgogoro wa mgomo wa madaktari wa hospitali ya muhimbili, ulioanza hivi karibuni na ambao bado unaendelea. Ameongeza kwamba hali ya wagonjwa inaendelea kuwa mbaya zaidi kwa sababu ya mgomo huo, dk hellen kijo-bisimbamara baada ya kumalizika kwa maandamano hayo yaliyofanyika leo.
mkurugenzi wa tamwa, analilea nkya akiwa ameshikilia bango lake wakati wa maandamano hayo jijini dar es salaam leo.
polisi wakiwaamuru waandamanaji watawanyike mara baada ya kufika katika eneo la salender brige jijini dar es salaam leo.
7.jpg


mkurugenzi wa tamwa,mama ananilea nkya (kulia) akizungumza na baadhi ya vyombo vya habari mbalimbali kuhusiana na maandamano yao yaliyodumu kwa muda wa masaa mawili hivi kwa ajili ya kuishinikiza serikali ikae meza moja na madaktari na kuhakikisha mgomo wao unakoma mara moja na kuhakikisha shughuli za matibabu hospitali ya muhimbili na nyinginezo zinaendelea kama kawaida.
9.jpg

amri ikitolewa kuwataka wanaharakati kuondoka eneo hilo,kwani ilielezwa kuwa maandamano hayo yamefanyika bila kubarikiwa.

10.jpg

askari wakiwa eneo la tukio mapema leo jioni.

4.jpg

ujumbe kutoka kwa wanaharakati hao.

5.jpg


mwanaharakati akiwa na ujumbe wake.

6.jpg


3.jpg

jk kachoka, achia ngazi nchi itawaliwe na rais makini
 
gomeni mpaka mpewe huo mkwanja cio mrefu kiivo wawape tu sie makonda tumepanga j2 nasie tunakinukisha
 
Back
Top Bottom