Mambo ya uswazi

Shine

JF-Expert Member
Feb 5, 2011
11,481
1,364
[h=6]Mambo ya uswazi 1

Vyoo vya uswahilini.

Chukua fursa ujionee vyoo vya uswahilini..utakapofika bafu lazima ukute utelezi usipokua makini lazma utaurwada.juu ya ukuta utaona maneno tofauti tofauti..kama vile jirani-1..anaosha vyoo mondayjirani-2...ataosha..tuesday,na halkadhalika.

Haya ingia haja kubwa choo cha kifalme.kwanza kabla hujaingia hapo mlangoni unaeza ona magologolo ma basakeli mabovu ama jiwilbaro limeegezwa hapo.fungua mlango uingie ndani sasa..kabla hujaanza shuhuli hapo ukiangalia ukutani pia utaona maneno tofauti yakufarisha japo ni notice ama ujumbe wako.unaeza pata kumeandikwa maneno kama LENGA SHIMO KWA SHABAHA ZOTE,kwa herufi kubwa,viambazani uone maandishi sijui huwa watoto ama wa2 wazima kumeandikwa hesabu kama vile 1+3=4 kwa maandishi yakuzengea..wakati mwengine unaeza pata paka amelala humo chooni ama wafukizana huko juu ya dari..fanya haja zako utoke lakini kabla hujatoka ukuta wa nje kabisa unapofungua mlango utapata kumeandikwa maneno hapa,maneno yenyewe nikama "hakikisha umeshindika mlango ulo nyuma yako asante"kwa maandishi ya mkato!
[/h]
 
Back
Top Bottom