Mambo ya uswazi

Kushinda na khanga moja kuna fanya bailojia ishinde inapumua na mazingira yote husika mpaka kule dawasco kunakuwa shwari hakutemi ovyo ovyo harufu kama wewe unavyo dhania kitu kinapunga upepo full time

Aisee taratibu taratibu basi. Hujambo?? (naanza kuchakacua thread kama kawa)
 
kushinda na khanga moja kuna fanya bailojia ishinde inapumua na mazingira yote husika mpaka kule dawasco kunakuwa shwari hakutemi ovyo ovyo harufu kama wewe unavyo dhania kitu kinapunga upepo full time
Du!!! Kweli kabisa mkuu..
 
Hahahaha kidume nimemwezesha hapo kodi ya miaka 2 ni 240,000/= najua wewe pesa hiyo unatumia wiki mbili imekata mwenzio nimempangia shemeji yako hapo na nikifika hapo napiga mluzi tu nazama geto kula lunch

Hiyo mimi ni kwa siku tu wiki mbili mbona nyingi sana. aaahhh nimesahau ni Kshs, UGSH au Tshs???
 
utamu ni pale kaupepo kanapoipuliza hiyo khanga duuuu ....kaupaja nje nje !!!
Ahahahahahaaaah mkuu umenikumbusha tukio moja liliwahi tokea mtaani kwetu nyakati za asubuhi, mama mmoja kapiga zake khanga moja kama kawaida na anapiga mswaki nje, ghafla ukapita upepo ile khanga ikafunika kichwa chake, mambo yote hadharani ilibidi wapita njia na tuliokuwepo pale tufumbe macho na kuact kama hatujaona kitu....
 
Mtu anapovaa khanga na kuzunguka nayo mchana kutwa kila mahali, basi ujue ni maisha ya kawaida kwao au maeneo anayoishi, kwa hiyo hata wenzake wanaomzunguka watakuwa wana-behave likewise na hakuna wa kumshangaa mwenzie, labda we uliezoea kuvaa bathrobe ukienda huko ndo utashangaa, lakini sio wao.
 
Aiseee hommie ukifika TIP TOP kama unakata kuja TANDALE UZURI halafu unarudi kama vile unaenda kutokea njia ya kwenda MABIBO kheeee kheeee kheee kule ni hatari kuna haja ya kufanya RESEARCH kama ya wiki hivi

Ha ha haaa, mkuu, ukitoka TIPTOP pita lunchTime, JM motel, kama unaelekea mabibo soko la ndizi USWAZI... Home sweet home!
 
uswazi.jpg


uswazi ni kawaida sana kuona mtu anatoka na khanga moja kwenda dukani kwa mangi
jamani khanga ina hamasa zake kwa wapenda nao mtoto wa mboga saba akija uswazi aone mambo ya khanga moja lazima ataishia kujichafulia kwa suruali. Uswazi kuna raha zake jamani.


khanga moja balaa,,,, naishi maeneo ya kijitonyama na familia fulani hivi iliyobarikiwa watoto wakike waliojaaliwa sehemu flani hivi yaani kila siku asubuhi na usiku napata shida
haisemeki sababu ya khanga moja, vibration za kufa mtu mpaka mahema yanajengwa.
 
madhara ya kanga moko niliyaona siku ya mabomu gomz kina mama wengi walikimbia uchi vyombo njenje:decision::rain:

You are right Broda, Sitaki kukumbuka! it was just like that :A S 13:
 
khanga moja balaa,,,, naishi maeneo ya kijitonyama na familia fulani hivi iliyobarikiwa watoto wakike waliojaaliwa sehemu flani hivi yaani kila siku asubuhi na usiku napata shida
haisemeki sababu ya khanga moja, vibration za kufa mtu mpaka mahema yanajengwa.

Nakuelewa seto, Nimeishi Manzese, mabibo mwisho wa lami, Buguruni kwa mnyamani, tabata shule, yombo kigilagila, keko machungwa, kurasini shimo la udongo, Mbagala rangi3, I miss that life
 
Fidel, kumbe wewe ndo ulifanya nisilale janaaa!!!, Looooohhhhh nilifikiri ukuta utaniangukiaaa!!,Uswazi, entertainment wapata laivu, maanake vyumba vimegawanywa na kuta za kadibodi, na wajua mama watoto kenda kijijini, ndo maana waona asubuhi nime-osha kufuli zoote na nikaanika hapo ukumbini!!, Nani asema USWAZI hakuna rahaaaaa!!!!!!!!!!
 
khanga moja balaa,,,, naishi maeneo ya kijitonyama na familia fulani hivi iliyobarikiwa watoto wakike waliojaaliwa sehemu flani hivi yaani kila siku asubuhi na usiku napata shida
haisemeki sababu ya khanga moja, vibration za kufa mtu mpaka mahema yanajengwa.

Mkuu yule wa mwsho ni shemeji yako., tafadhali..)
 
Fidel hiyo picha sidhani kama uswazi nayoijua mimi ipo hivyo hiyo ni kambi ya wakimbizi labda
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom