Duh nao wamezidi sasa...utakuta kwa chuni ana KWATO za Punda anaogopa watu watazionaVazi la huyo mwanamke linaitwa MATESO BILA CHUKI!
atakuwa kavaa mabomu huyu.lol
...Kumbe na wewe umeona?!! Ehh!Huo mkono ni wa bandia ama amevaa gloves?
How? ufafanuzi tafadhali.kuogelea au kuendesha gari ndani ya nikab/burka ni hatari kwa mhusika na jamii.
View attachment 48241