Mambo ya Pemba

Erickb52

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
18,539
11,442
Picture206.jpg Erick2252.jpg Picture213.jpg
Hayo ndo baadhi ya picha nilizofanikiwa kuchukua pemba mwezi huu wa kumi.
 
hyo picha ya 3 kwao ni kitu ch kawaida sn kwa hzo gari zinazoenda shamba...afu jamaa barabarani wanaendesha gari kwa fujo sn. Niliwahi kupanda hzo gari ninaenda gambe kinazini aise nilitamani kushuka.
 
Subiri uchaguzi mdogo ndipo utakapojua kuwa tz tuna mijihela sisi!............lakini baada ya uchaguzii hali ndo km uonavyo................wkt wa kampeni wapemba wanashangilia pilau km kawa
 
Back
Top Bottom