Mambo ya Pemba hayooo! Je! Unaona ndani?

mpemba mbishi

JF-Expert Member
Nov 27, 2011
1,132
185
Kwajwa: Kwaja ujio wa haja, mno uliongojewa
Ulosemwa ni kangaja, wasiwasi
ulozuwa
Mngoji sechoka ngoja, na mikono
kunyanyuwa
Kutwa nilitarajia, sena hakika yatawa! Waja niliowangoja, waja na hina na liwa
Na la asumini koja, na kikuba cha
kifuwa
Basi haya hiyataja, mwili yanisisimuwa
Na machozi yanitowa, wengine
hiwawazia. Waja waja wa Mmoja, na miye ni mja
sawa
Waja wote kwa pamoja, kwa rehemaze
Moliwa
Huja kweli mambo huja, lau
yakisubiriwa Siku Rabbi kiamuwa, Husema kuwa
yakawa.
 
Back
Top Bottom