mambo ya OBAMA

8e9u9992.jpg

Hapa inaonesha JK alikuwa anachanganya past, present na future tense mpaka Obama haelewi na kubaki kumshangaa na kuanza kum-study jamaa kama kweli IQ hiko ya kutosha na kuwa na uhalali wa kuongoza nchi!!!
 
Na nimeipemda zaidi...inaonyesha Mama Obama ndio ailikuwa jikoni akitayarisha msosi..ndio maana anaonekana yuko very simple. Yaani hapa hakuna cha hauzi geli wala nini bila shaka.

wauaji tu hawa hawana maana wote mashetani wanapiga ghadaf
 
Hapa inaonesha JK alikuwa anachanganya past, present na future tense mpaka Obama haelewi na kubaki kumshangaa na kuanza kum-study jamaa kama kweli IQ hiko ya kutosha na kuwa na uhalali wa kuongoza nchi!!!

na alipogundua ni kilaza wa kutupwa, akampiga permanent ban....indefinelty
 
Napenda concetration ya huyu jamaa. kila kitu anakifuatilia kwa umakini sana.

Nampenda huyu mama...alivyo simple utadhani yeye ndo alitoka kisumu...

Nimewapenda watoto...japo ni 1st family, lakini wako simple na wapo tayari kuleleka!

naiadmire hii familia kwa kweli!
 
Duh!body language ya JK inaonyesha wazi ngeli shida tupu,Obama anasubiri neno moja moja mdomoni mwake,hajui kuwa wenzake wanaenda kwa muda.kama vipi aende english coz mwenge
 
moja ya picha inayonifanya kujisikia humiliated vibaya sana....na nikikumbuka TBC walivyoirusha jamaa alivyokuwa akitetemeka...kweli ilikuwa full kuchanganya past, present, future tenses na zile zetu za "za niniii....naniiiii" then unakumbuka unaongea kiswanglish then unabaki kuwa kichekesho...! na hiyo list wala hakuimaliza kuisoma....manake muda ulishaisha wa kuwa na huyu jamaa....na ukichukulia jamaa yetu ka'kawaida yake alishachelewa hata hiyo appointment....!! very funny prezida we ve here now
 
Unajua apo Obama amempa 1/3 ya ubongo wake JK afu 2/3 anafikiria solutions za issue za Americans na still wako on the same page na JK...OMG
Dah hapa umeniacha hoi...kumbe jamaa kilaza a.k.a mzito kiasi hicho.
 
hapo alikuwa anamwuliza kwa nini mchi yako ni masikini wakati mna rasilimali kibao?
majibu yake nadhani mnayajua.
 
these are completely two different people with completely two different IQ capacity: one has very high IQ and the other one very low. It seems our prez is trying to make a point. Unfortunately Obama cannot make any sense of what he is saying...poor Tanzania, what have you done to deserve this!
 
...cha kusikitisha zaidi mkuu wetu bila desa hawezi kabisa kujieleza. Wana-psychology mnaweza kutusaidia hapa, Obama alivyoshika mdomo wakati Mkuu anajitahidi kufafanua mambo, akisaidiwa na desa lake, inaashiria nini? Je, siyo kwamba Obama yuko bored, or sympathetic, or confused na anachokisikia?
 
Back
Top Bottom