Mambo ya Mwenge kwa waosha miguu na wapata rangi.

Hakuna ndoa inavyovunjika wala nini? inategemea umeenda pale kufanya nini kama hujieshimu ukaanza kuwachekea ndo ndoa zinavunjika usiwaharibie wenzako biashara bwama.

Siwaharibii Biashara Joyceline, natoa tahadhari tu. Kila mtu afanye sehemu yake, isizidi. Kama ni kumsugua miguaa na kupaka rangi basi waishie hapohapo wakizidisha tu, ujue umeibiwa.
 
jamaa wanaosha miguu vizuri wale daaah yaani acha tu

We Smile wewe! Ngoja nikapate Tuisheni pale niwe namfanyia mamsapu mwenyewe home, nikichanganya na utundu wangu hatakumbuka hata kama kuna Mwenge tena.
 
pedicure jamani mwanamke urembo!!

Ndio Mwanamke Urembo tunakubali, ila nimepata taarifa kuwa kuna sehemu mitaa ya Makumbusho kuna saluni ya kike watakufanyia yote hayo wanawake wenzako, au hampendi kuhudumiwa na wanawake wenzenu?
 
jamani msiwalalamikie wenzetu kwa kwenda kuoshwa miguu na kucha kupakwa rangi. Mbona kuna massage parlour nyingi tu siku izi na sisi tunazama huko kukandwa kandwa na wao hawajalalamika?
 
Ati! Tuwachangie wapate sehemu nzuri zaidi waweke na vitanda? Weweweeee! Utaua watu kwa presha sasa. Hata kama ni stress releasers kwa wadada lakini sio kwa wakaka.

Kawajaribu, raha kweli. Kameruni Big No
 
hahaaaa yaami ,adogo pale mwenye nyuma ya zile bus shelters wanawasugua miguu wadada mapaka nadogo wanasinzia kwa utamu ..hahaaaaa mwenge oooyeeeeee
 
Mi nasubiri nianzishe saloon ya kunyoa sehemu nyeti naona hii ndo itakua rahisi mno kwenye kuvunja ndoa
 
Am just wondering kwa nini hii kazi inafaanywa zaidi na wanaume?!!

Sometimes I wish I had a female barber.
 
Back
Top Bottom