Mambo ya Mombasa

duh! wabongo nuksi yaani thread ishafika page ya pili kisa? mwazungumia watoto wa Kimombasa

khatari namna hii

enhee mambo ya wapi hayo?

mwazungumzia KIBOKONI au KIZINGO?
 
worthless.gif

tatizo tumbo unalo la hizo picha au ndio wazitaka tuu?
 
duh! wabongo nuksi yaani thread ishafika page ya pili kisa? mwazungumia watoto wa Kimombasa

khatari namna hii

enhee mambo ya wapi hayo?

mwazungumzia KIBOKONI au KIZINGO?
wapi picha bana weye vipi?

wallahi wallahi
[ame]http://www.youtube.com/watch?v=vinrmRsXjus&feature=related[/ame]

ulisema ati sina pesaa....ulisema ati skuwezaaa....Mombasa narudi
 
Jf kiboko duh!

nilifikiri watu wamelala lakini kumbe mna magonjwa yenu

taabu tupu

2676912791_df805e076f.jpg
 
wapi picha bana weye vipi?

wallahi wallahi
http://www.youtube.com/watch?v=vinrmRsXjus&feature=related

ulisema ati sina pesaa....ulisema ati skuwezaaa....Mombasa narudi

bas,

sasa mambo kama haya si shurti uwe ushakula gomba au?

laa salalaaa

nishajua kwa nini jamaa ndugu zake wamlalamikia hajapeleka pesa home..kila kukicha aniambia ohh unajua zile chata plane kwenda Mombasa ni paundi 150 tuu kumbe pesa zote zajenga nyumba kule kwa shemeji zake

potelemea mbali hata mie ningefanya hivyo duh!
 
2471202297_6c86196a48.jpg


mwanamke wanja ..sio mwanamke anakuwa na macho makavu makavu utafikiri bundi

hawa jamaa wa Mombasa wahuni sana tangu lini mnazi mmoja ukapandwa na watu watatu?
 
huyu Fatma nimesaree
[ame]http://www.youtube.com/watch?v=sa-7uC70v3Q&feature=related[/ame]

mashori wa dar vitambi sana hawawezi kuviringisha kama fatma.....
 
Acheni masihara, watoto wa Mombasa wamefundwa, kwa watu kukimbilia huko wala hakushangazi, maana unapata mtoto ananyenyekea mume kama mfalme wake! Si kuoa mnyakyusa au msukuma ambae mapenzi kwao ni kitendawili!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom