Mambo ya MDUARA lahaaa sana

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
733
DSC07972.JPG
 
Msela mwenye suti naona kama kazidiwa.

halafu inaonekana ni sharo baro. mcheki anavyotamani hicho kiuno. mwambie amuogope Mungo aliyemuumba,hayo mambo ya mchanganyiko ameyakataza kwani mkichanganyika tu lazima hisia za kingono ziibuke vichwani. Jiepushe Ngono usisubiri mpaka uvae kondom hapo utakuwa umesha muasi Mungu.
 
yalaa yalaa yalaa yalaa ya swamadu yalaa, mpaka chini 'paka chini 'paka chinnniiiii
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom