dropingcoco
Senior Member
- Jun 21, 2008
- 124
- 11
Inasemekana kwamba jana katika kanisa la Kakobe, sala iliyokuwa inaendelea ni kuomba kuhusu babu wa Loliondo ashindwe. Maombezi ya kukemea na kumkanyaga babu kwa jina la aliye mkuu yalikuwa yakiendelea huku waumini wakinena kwa lugha.Kakobe alisikika akisema ni nguvu za giza na hakuna anayeweza kutibu ukimwi bila maombi na yeye amekuwa akiwaponya wagonja wa ukimwi kwa maombezi yake. Hivyo basi babu ni nguvu ya giza na watu wafunge kwa sala ili aweze kushindwa
Source : clouds fm......power breakfast
Source : clouds fm......power breakfast