Mambo ya kuvaa T-shirt zenye maandishi usiyoyajua.

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,438
1,026
Jitu dume zima linavaa T-shirt imeandikwa;I'M A PRETTY GIRL,GRAVEDIGGER,MORTUARY ATTENDANT,99% DEVIL AND 1% ANGEL e.t.c,bora mtu mwenyewe angeivaa kwa malengo lakini mtu hata english language hajui,dah inasikitisha.
 
Kuna moja nimewahi kuona 'I had my period today' afu yenyewe ya pink na tozi mmoja katinga
 
hii niliipenda alikuwa amevaa mtoto wa kama miaka 6 hivi, Iliseama I didnt do it, did you see me do it? I want to speak to my grandma
 
Baunsa mwingine kavaa T-shirt imeandikwa,DON'T HATE ME BECAUSE I'M BEAUTIFUL.
 
Mi kuna mwingne nimemuona amevaa t shirt imeandkwa MTOTO WA JAH-KAYA,nilshanga kwelii
 
daaah! Jamani ninae toz mmoja hapa T-shirt yake ime i'm 'aprostuter' halafu ye ana jiona bonge la much know.
 
Na T-Shirt nyingine zina alama za ajabu ajabu kama vile mafuvu ya kichwa, nk ambazo aghalabu hutumika katika mambo ya uchawi na rituals za jinsi hiyo.
 
Kweli kabisa, tshrt nyingine tuangalie inamaanisha nini na ww unaichukulia vipi. Tukisema mafuvu hayafai kisa eti ni uchawi tunakosea, mafuvu ni sehemu ya mwili wangu kama mnavyotumia moyo kama upendo. Fuvu huonyesha ujasiri. Hata msalaba(upside down cross) na mwezi hutumika kama vitu vya uchawi. Kuhusu alama hapo inategemea unayachukulia vipi. Mimi nina tshrt kibao za mafuvu kwa sababu napenda scary movies, gothic songs na rock metal. So inategemea ww unaichukulia vipi na ni mtazamo wa mvaaji! Ila tusivae nguo bila kuangalia maana zake.
 
<br />
<br />
Kwa sababu wewe unaijua maana yake na umeivaa kwa malengo,haina shida!
 
huu mwano hakuna shida waelimishwe
Jitu dume zima linavaa T-shirt imeandikwa;I'M A PRETTY GIRL,GRAVEDIGGER,MORTUARY ATTENDANT,99% DEVIL AND 1% ANGEL e.t.c,bora mtu mwenyewe angeivaa kwa malengo lakini mtu hata english language hajui,dah inasikitisha.
 
jamani hawa ni watanzania wenzetu , tujaribu kuwashauri angalau waache kuvaa t-shirt za majuu badala yake wavae za kiswahili watakazo elewa maana yake. Mana kwasasa zipo tele!

"elimu si lazima uingie darasani hata jamii forum elimu ipo tele"
 
Mbaya zaidi wanaozivaa hawamo humu JF ni vema kutafuta means nyingine ya kuwaelimisha
 
Ila kuna moja niliipenda,niliiona nikiwa safarini maeneo ya chimala,rastafari mmoja alivaa T-shirt imeandikwa,"SOME ONE WHO LOVES ME FROM JAMAICA GAVE ME THIS T-SHIRT".
 
kuna moja nilikuta imeandikwa I HATE JK!
duu sasa sijui anajua maana yake!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom