Mambo ya kutafakari kabla ya kuoana

Pdidy, nakushukuru kwa masomo yako 10. Umekolea mzee lakini jina lako Pdiddy lingeweza kunifanya nisione articles zako kama si serious vile!!
 
mtumishi wa mungu mchola
nakushauri fwata ushauri wangu usifwate ninachanya!!!ila yote ni kwa mapenzi ya bwana yesu,na mungu akutie nguvu kwa yote utakayosoma jina la bwana libarikiwe
 
mashart mengi sana kwa mtaji huu sioi.Nimeghahiri.Hivi ndoa za mkataba zinafaa?Lakini ukimwi nao je?mmhhh Bora niokoke dunia imekwisha
 
Hivi..ni muda gani baada ya ndoa pale baada kanisani unatakiwa kuvunja ndoa?
 
Mtoa mada umenigusa maana kama me napendana sana na mchumba wangu na nimekubali kubadili dini japo dini yenyewe sidhani kama nitaifata nikishaolewa maana itakuwa ngumu sana but hopes tutaishi vizuri ilimradi tuna hofu ya Mungu.
 
Mtoa mada umenigusa maana
kama me napendana sana na mchumba wangu na nimekubali kubadili dini japo
dini yenyewe sidhani kama nitaifata nikishaolewa maana itakuwa ngumu
sana but hopes tutaishi vizuri ilimradi tuna hofu ya Mungu.

unajidanganya!kama mmekubaliana heshim makubaliano mpaka mwisho,msalipamoja family iwe moja.imani ni nyeti sana
 
Hakuna kitu kigumu kwa kijana kama/binti kama wakat wa kuchagua mke/mme!Mengi utaambiwa lakn kumbuka waoaji na waolewaji ni wachache sana,Kiroho zaid yatupasa tumwombe Mungu,kibinadamu zaid ushaur ni kitu cha bure unapotaka mchumba
 
Hii speech ni ya Mwl. Mwakasege aliita MASWALI YA KUJIULIZA KABLA YA KUOA AU KUOLEWA naona mtoa mada kaiwekea kitu kidogo kwa mwanzo then akatiririka kama Mwakasege vile,. ni jambo jema ila angem-acknowledge ingekuwa nzuri zaidi kuliko kujidai ni mawazo yake,. hii ni speech ya kama 2Hrs
 
Back
Top Bottom