mambo ya kupumua

Mshume Kiyate

JF-Expert Member
Feb 27, 2011
6,766
894
Kama haja ndogo ni
"short call"
Haja kubwa ni
"long call"
Basi kujamba kuitwe
"missed call"
 
Pendekezo lako zuri ningekushauri uonane na watafiti wa lugha zote mbili,mimi nachojua ni puffing or flatuse,or kujamba kama sio kutoa ushuzi...Zaidi ya hapo tuwaone wataalamu wa falsafa.BAKITA.
 
hawa ndio wanaopenda rudia rudia mambo ....au ni new member !?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom