mambo ya kupeana maradhi haya hapo kama Mtu anaumwa TB si balaa wajameni

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,298
33,083
250114_110241712399303_100002404232572_103068_6825768_n.jpg

mambo ya kupeana maradhi haya hapo kama Mtu anaumwa TB si balaa wajameni
 
Hapo uwezekano mdogo ukilinganisha na ile ya mdomo kwa kopo (ya kichaga,lol)
Ila unadhani kwenye daladala, bus na worse enough kwenye ndege ambapo hakuna hewa mpya unakutana na tb ngapi? Your own immunity inakulinda.
 
kwenye starehe ugonjwa na kifo ni sawa na "inzi kufia kidondani'
 
tumekuwa tukitumia hii kwa miaka nenda rudi na hakuna kitu kama TB huku!
 
Hapo uwezekano mdogo ukilinganisha na ile ya mdomo kwa kopo (ya kichaga,lol)
Ila unadhani kwenye daladala, bus na worse enough kwenye ndege ambapo hakuna hewa mpya unakutana na tb ngapi? Your own immunity inakulinda.

Best King'asti hiyo ya mdomo kwa kopo nimeshaiona pia katika mikoa mingine mingi....watu wanakaa mkao wa kula halafu kopo linapitishwa kwa kila mtu akimaliza kuweka mdomo wake anampasia mwenzie :puke:na shughuli inaendelea hivyo mpaka kopo limalizike kisha huagizwa kopo lingine.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom