Mambo ya kumwaga sera

Maria Roza

JF-Expert Member
Apr 1, 2009
6,797
1,567
acfn8o.jpg




Ipe maneno hii picha nani anatongozwa???
 
acfn8o.jpg




Ipe maneno hii picha nani anatongozwa???

body language
maria roza,

nionavyo mimi, body language inaonyesha kuwa wote mwanume na mwanamke wanaumiza vichwa kufikiri jambo fulani lililotokea muda mfupi uliopita. mfano kama wameibiwa TV dakika kumi zilizopita, huenda wanajiuliza watampata wapi kibaka aliyeiba TV yao?. angalia walivyoshika viuono na uso wa mwanaume unaonekana uko kwenye tafakari.

ni kawaida kwa mwanmke akiwa katika tafakari huku amesimama kusimama wima na kujisaport kwa mikono yake kiunoni. kama angekuwa anatongozwa asingekuwa "mguu sawa" bali angekuwa "at easy" na angeonekana kurelax hasa kwenye miguu. ndio maana watu husema mwanamke akiwa anatongozwa huwa anaumauma vidole au kuchorachora chini au kuangalia pembeni nk, yote hiyo ni katika ku-relax ili somo limuingie vizuri na hasa ukizingatia kuwa kutongozana ni kujenga urafiki, sio ku-solve problem! body language ina kanuni zake!

isitoshe hapo pembeni kushoto kuna kijana amekaa na na inawezekana naye kwa mkao huo kama anahusika na kinachoendelea, basi atakuwa kaiweka mikono yake yote miwili juu ya magoti na kichwa kainamisha kidogo (kama nyuzi 120 hivi) kwa tafakari ya tuo. kutokana na mila za kiafrika, hawawezi kuwa wantongozana huku mtu mwingine yuko karibu hivyo na anasikiliza kwa makini. katika hali hiyo wote wawili hasa mwanamke angeona aibu na kushawishi wasogee kando kidogo

natumaini nimeeleweka

zaidi unaweza kutafuta thread yangu ya sanaa ya kutongoza, utapata mengi

asante
 
Hapa kwa mtazamo tu kuna jambo mwana dada anawakilisha kama mbona matumizi ya mtoto sikuhizi huleti.. Na kwa haraka tu jamaa amegundua hatakiwi kuwa mkali ndiyo maana ana uso wa tabasamu yenye shauku ili ajipange kumlegeza huyu mdada . Mdada akishika kiuno akakupa maneno hata kama ni nani lazima uwe mpole kama jamaa.
 
Hao wanajadiliana jambo fulani. Yaelekea huyo bwana ni fundi wanajadili maswala ya kujenga kijumba kipya hapo!
Au yaelekea ni dalali anayetaka kumwuzia huyo dada hicho kiwanja, na wanajadili hatima ya hicho kijumba na mpangaji(aliyekaa chini)
 
Distance nayo inaongea, Inaelekea ni watu ambao wako karibu sana, Mdada anamshirikisha Jambo ambalo lina maslahi kwa wote wawili.
 
Ramani za kabati huwa zinanifanya nikae nyuma ya alioko mbele yangu mpaka atokomee, huwa zinanimaliza kinyama!
 
Mbona huyo dada ndani ya suruali kama vile kuna majani? Ina maana ch*** ina mafundofundo au?

mimi ndio hapo nguo za kubana na michupi mikubwa inaponikera! nguo za kubana mwenzie G, hii michupi mikubwa asubiri siku zileeee za mwezi!!!!
 
mimi ndio hapo nguo za kubana na michupi mikubwa inaponikera! nguo za kubana mwenzie G, hii michupi mikubwa asubiri siku zileeee za mwezi!!!!

Atakuwa alikuwa kwenye siku zake za mwezi kavaa kwa kuzuia isidondoke
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom