Mambo ya kuji-express .... Vijana wanaougua saratani ya njia ya haja kubwa waongezeka

Keil

JF-Expert Member
Jul 2, 2007
2,214
803
Vijana wanaougua saratani ya njia ya haja kubwa waongezeka

WANAFUNZI wa sekondari wa kike na kiume ni miongoni mwa wagonjwa walioathirika zaidi na saratani ya njia ya haja kubwa wanaofika katika taasisi ya saratani ya Ocean Road.

Akichangia mada kuhusu ugonjwa wa saratani ya tezi ya kibofu cha mkojo iliyotolewa na Dk. Ali Mzige, Dk. Dominista Kombe ambaye ni daktari bingwa wa saratani kutoka taasisi hiyo, amesema mbali na wanafunzi, wagonjwa wengine ni vijana wasiokuwa na kazi ya kufanya.

“Sasa hivi vijana wa kati ya miaka 20 na 30 ndiyo wengi wanaokuja hospitalini tena inasikitisha unakuta wameharibika sana,” alisema Dk. Kombe.

Alisema kwa uzoefu kwenye kliniki ya saratani, wastani wa vijana wa umri huo kati ya mmoja na watatu hufika kila wiki wakiwa na saratani hiyo tena wakiwa wamesharibika sana.

“Inabidi tufanye utafiti kujua sababu ya vijana wetu kuathirika na saratani hii. Inaumiza unapopokea vijana wanakuja wameweka vitenge sehemu ya nyuma wengine wanavaa ‘skin tight’ tatu,” alisema.

Hospitali hiyo ambayo ni maalumu kwa ajili ya kuhudumia wagonjwa wa saratani nchini kwa wiki hupokea wagonjwa wapya wenye saratani za aina mbalimbali kati ya 30 na 60.

Aidha tangu Januari mwaka huu mpaka sasa imeshapokea wagonjwa wenye saratani za iana mbalimbali wafikia 3,084.

Awali Dk. Mzige aliyewakilisha Chama cha Afya ya Jamii (TPHA) alisema kujamiana kinyume na maumbile kwa wanawake kunawasababishia saratani ya njia ya haja kubwa na wanaume hupata saratani ya uume.

Naye mkufunzi wa saratani kutoka Chama cha Madaktari Wanawake (Mewata), Dk. Maryrose Giattas, alisema sasa hivi vijana wengi wanajihusisha na kujamiana na kinyume cha maumbile.

+++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++

Hii ni tahadhari kwa wale wanaopenda kuji-express, maana madhara hayo kwa wale wanaokwenda kinyume na maumbile tu, bali hata kwa wanaume.

Generation yetu inaelekea kubaya
 
...Awali Dk. Mzige aliyewakilisha Chama cha Afya ya Jamii (TPHA) alisema kujamiana kinyume na maumbile kwa wanawake kunawasababishia saratani ya njia ya haja kubwa na wanaume hupata saratani ya uume.

.....mnnnnnh sio kweli bana, mbona anatishia watu bure bure tu? aaaah! :D
 
Ndio tuna rudi kule kule kuwa fanya watu wafiche magonjwa kudhani ukiugua basi ulikua mwanachama wa TIGO .
Ajabu mtaalam ndio anatoa wazo hilo lisilo fanyiwa research yoyote na ona kuhusu suala hili kila mtu atakua mtaalam wa gonjwa la cancer na kujua chanzo chake.
 
Causes of Colon Cancer Causes and Risk Factors for Colon Cancer


By Lisa Fayed, About.com Guide
Created: July 09, 2009
About.com Health's Disease and Condition content is reviewed by our Medical Review Board

See More About:

Sponsored Links

Colon Cancer a concern?Try our free and official test Ontario Ministry of Healthwww.coloncancercheck.ca
Do You Have Colon Cancer?Top 5 Colon Cancer Symptoms & Signs What The Doctor's Not Telling You!Support-ColonCancer.com
Afraid of a Colonoscopy?Get screened first with ColonSentry A new blood test for colon cancerwww.colonsentry.com

Cancer Ads Early Signs of Colon Cancer Symptoms for Colon Cancer Colonoscopy Cost Tumors Colon Colon Polyp


Unfortunately, we do not know the exact causes of colon cancer. However, researchers have identified several colon cancer risk factors. A risk factor is something that may increase your chance of developing a disease. For example, smoking is a risk factor for lung cancer. Colon Cancer Risk Factors

Age. Colon cancer most commonly occurs in people over 50, however it can occur in younger people. It is important for people to know the symptoms of colon cancer and to participate in colon cancer screening at the appropriate age.

Consumption of alcohol. Drinking excessive amounts of alcohol has been linked to colon cancer.

Family history of colon cancer.Research tells us that colon cancer can be genetic, meaning it can be passed down to our family members through a defected gene. If you have a family history of colon cancer, discuss your risk factor with your doctor.

Personal history of colon cancer. If you personally have had colon cancer before, you are more at risk at developing it again. This is even true if it was successfully treated.

Inflammatory bowel disease.</B> Having chronic inflammatory bowel disease puts you at a higher risk for developing colon cancer. IBD is a condition in which the colon suffers from inflammation for a period of time.

Polyps/Colon cancer can develop from polyps, extra tissue growths.

Obesity. Being overweight can increase your risk factor for developing colon cancer. Lack of exercise is also a contributor to the increase of one's colon cancer risk factor.

Diet high in fat. A diet high in fat, especially animal fat, not only raises your risk factor of being overweight, it increases your risk factor for colon cancer.

Smoking. Smoking increases your risk factor many types of cancer, colon cancer included. Smokers are 20%-30% more likely to die of colon cancer than non-smoking people with the disease. Smoking may be the culprit of at least 12% of colon cancer cases.

Diabetes. People with diabetes have an increased risk factor for developing colon cancer. In fact, it is estimated that they have a 30-40% increased risk factor.
 
Ndugu Ujengele,
Naomba kukusahihisha kidogo....Colon cancer ni kansa ya utumbo mpana......siyo lazima iwe ndio cancer ya sehemu ya haja kubwa (rectum).Kumbuka wanawake wanaopata saratani ya cervix huambukizwa vimelea kwa njia ya kujamiina.Kadhalika hao wenye tabia za kutigoana wana uwezekano kupata saratani kwenye rectum kwa sababu hiyohiyo ya cervical cancer na siyo colon.
 
sasa hiyo saratani itakuja kwa kujamiiana tu?!ai minii kwa tigo
 


Awali Dk. Mzige aliyewakilisha Chama cha Afya ya Jamii (TPHA) alisema kujamiana kinyume na maumbile kwa wanawake kunawasababishia saratani ya njia ya haja kubwa na wanaume hupata saratani ya uume.

Naye mkufunzi wa saratani kutoka Chama cha Madaktari Wanawake (Mewata), Dk. Maryrose Giattas, alisema sasa hivi vijana wengi wanajihusisha na kujamiana na kinyume cha maumbile.


Hivi hawa madaktari wetu walinukuliwa vibaya au ndio walisema hivyo hasa?

Mbona hawajatoa ushahidi wa kisayansi ili kuthibitisha madai yao hayo?
 
Ninachomshangaa huyo mtoa hoja, anawaza kwamba TIGO ndiyo inayowafanya vijana hao anaodai kuwaona ndiyo inayowasababishia cansa ya nyuma, halafu pamoja na kutoa sababu ya ugonjwa huo anadai anataka kufanya utafiti kujua chanzo. very contradicting doctor he seems. Utafiti unafanywa kutafuta source ya tatizo, sasa yeye tayari keshajua source kama mtaalam, anataka utafiti wa nini, si angetafiti tiba sasa?

Ndio maana wabongo hatusongi mbele. Unajua kwamba ili mtu aishi anahitaji ale chakula, sasa unataka kufanya utafiti juu ya watu kufa kwa njaa, wewe mtaalam kweli au ndio zile PHD za online?

Leka
 
Hivi hawa madaktari wetu walinukuliwa vibaya au ndio walisema hivyo hasa?

Mbona hawajatoa ushahidi wa kisayansi ili kuthibitisha madai yao hayo?
hehehe!mpwaaaz mbona unalitetea hilo?
 
hehehe!mpwaaaz mbona unalitetea hilo?


Mpwa sitetei kujiexpress ila pia sikubaliani na habari kama ilivyoletwa

kuna kitu kinaitwa colorectal cancer na katika kusoma sijaona popote waliposema kula tigo kunasababisha cancer ya huko.

Nashauri wakati tunajadili hii habari pia tupitie na hili bandiko jingine hapa
Colorectal cancer is cancer that develops in the colon or the rectum. These cancers can also be referred to separately as colon cancer or rectal cancer, depending on where they start.

http://www.cancer.org/docroot/CRI/content/CRI_2_4_1x_What_Is_Colon_and_Rectum_Cancer.asp?rnav=cri
 
ahsante daktari!:D
kunywa bia moja basi

hahahaha, mapema mno mbona japo jiko la shamba halichagui kuni!


kuna watu wanataka kupotosha hapana siye hatutaliruhusu hilo!

then nadhani hii iende kwa JF Doctor..
 
Nimemtumia sms rafiki yangu ambaye ni doctor (MD) kuhusu hii mada, kanijibu kuwa kuna kirusi kinaitwa HPV ndicho huwa kinasababisha hata kansa ya kizazi kwa kinamama na kinaenea kwa njia ya ngono, hivyo jambo hilo linawezekana sana.
 
Back
Top Bottom