Mambo ya kikwete katika kikapu

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,299
33,080
Bulls.JPG


Pichani ni jezi na mpira wenye saini za wachezaji wa timu ya Chicago Bulls ya nchini Marekani.Zawadi hizo

alipewa Mheshimiwa Rais Jakaya Kikwete alipokuwa ziarani Marekani hivi karibuni.Rais Jakaya Kikwete alipata

kucheza mpira wa vikapu.Pichani kulia ni mwandishi wa Rais Msaidizi,Premmy Kibanga akizionyesha jezi hizo

kwa waandishi wa Habari na Kushoto ni mwandishi wa Habri wa kituo cha channel 5 cha jijini Dar es Salaam BW Patric.
 
ndio kilichobakia kwa raisi kufuata kuuza sura ulaya,hapo huyo mwandishi anaona anafanya jambo la maana.
 
Kapewa Jezi je alishawahi hata kuushika mpira kama huyu jamaa???
tumblr_l69nxzLcDx1qccqtfo1_400.jpg
 
Japo ni Omba omba....japo angeomba haya makitu basi tungemuona wa mana....

Mahospitali yetu yakawa na mavifaa, wananchi wakaweza kuhudumiwa kwa fedha kidogo badala ya kuwatajirisha wenye mahospitali makubwa ya binafsi.

250px-X-ray_table.JPG

images
ray06.jpg
 
Wangetupa taarifa ya viwanja vingapi vya basketball alivyovijenga katika utawala wake, na pili ni timu ngapi za basketbal tanzania alizojitahidi kuzipa kampani na sasa zinafanya vizuri. Au watanzania wangapi amewaunganisha sasa wanacheza ligi ya basket Marekani. Suala la JK KUPEWA JEZI KWANGU NI UTOTO HALIISAIDII NCHI AMBAYO YEYE NI RAISI. SAMAHANI NEXT TIME SICHANGII TENA MAMBO Trivial kama haya.Hivi kweli haya ni mambo ya kujisifu katika nchi hii yenye matatizo chungu nzima. Mimi simo, tafadhali msiniqoute.
 
Back
Top Bottom