Mambo ya Dom hayo!!

5ae22d693d54009808c3ea04ccc796e3.jpg
 
Yaan hawa watu, kila kona. Hadi inafikia kipindi wakiniomba nawauliza km wana chenchi ya elfu kumi ili niwapatie. Maana utashangaa anakuomba wewe una buku tano tu huku yeye ana kilo ndani ya kububu.
Yani bado unawasaidia. Mi nimeshajitoa ufahamu kuwapa hao watu, nimeshawai kuumpa ela mzee mmoja , jioni na mkuta Chaduru anapata pombe ya kienyeji. Ombaomba wengi Dodoma wanaenda na target . kuna moja yeye anakwambia esabu yake kwa siku elfu 20.
 
Hao Majamaa wapuuz Kazi ha wapendi Kabisa kusoma hawataki pia yaani elimu kwa wagogo Haina ishu
 
Chikuyu, Iringa road, Bahi road, Area c, Area a, Area D, Uzunguni, Chinangali East, Chinangali West, Makole, Mipango, Kizota, Zuzu, Mirembe nk
 
ha ha ha umenikumbusha home bwana

chigongwe

chikola

nala

nkuhungu

kizota

chamwino

gwasa a k a changombe

zuzu

area A,C,D

chimwaga a k a UDOM

BILA KUWASAHAU WATU MAALUFU DODOMA
WAKINA

KIZAMBA

WATOTO WA KIDONGO MAILI MBILI

DJ CHILA

MALOLE

NA WENGINE KIBAO BIG UP SANA

%%POSHO CITY%%
 
Back
Top Bottom