Mambo ya dar live

Mzalendo Mkuu

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
735
191
Wapendwa, nipo Dar Live angalau kupunguza machungu ya ufisadi. Hapa mahali pazuri ila mambo yanaanza late. Tuliokuja na watoto wanakuwa hawana cha kufurahia. Wanahitaji kufanya marekebisho angalau kuwa TOTO DISCO.
 
Baadaye mambo yalienda vema sama. Tulipata burudani tuko Undergrounds, mchiriku toka Manzese, bendi moja ina mzungu then wakaja Chuchu sound
 
Ilipofika saa 12.45 jioni Helkopta ya Diamond ilitamba anga za Mbagala. Ilipiga mkwala ikapita hapo Dar live mara tatu hivi
 
watu tulipagawa sana LAKINI hakushuka ukumbini kama ilivyotangazwa. Ukora? Hata hivyo alitua uwanja wa hapo karibu.
 
saa 12.05 tukatangaziwa kuwa wenye watoto tuondoke muda wa watoto kuwa pale ulikuwa umekwisha. Tukaondoka bila ya kumuoma Diamond.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom