Hizi link za Blogspot hazitoki vizuri
source: Michuzi blog
Ndio mambo ya usafiri wa Dar huo, hata mkiwa wachache lazima mpiganie kuingia.
Ni kweli dada Pretty, siku moja tulikuwa watu wachache tu kwenye kituo cha daladala ikaja Coaster ambayo tusingeweza hata kuijaza na ilikuwa na abiria wachache sana ndani nikashangaa kuona watu wanasukumana kuingia. Nilishangaa kweli.
Hii mbona cha mtoto sana ukilinganisha na jinsi watanzania wanavyosafiri katika mazingira ya hatari huko vijijini. Kuna mkangaf unaitwa MV Liemba. with a reputation of being the oldest passenger ship still in service (built 1913).Ukiangalia jinsi watu wanavyosafiri Lake tanganyika utashangaa kwa nini hatuna vilio kama vya MV Bukoba vingi zaidi.
next time kuwa karibu na wallet yako na simu!
Mmmm picha haina uhalisilia da mazingira ya dar mbona kama kuna majengo ya karakana,sio vijana walikuwa wanakwenda beach
Zingekuwa coaster za kwenda mikoani, ungeona abiria wana mabegi/mizigo.Hapo siyo dar, nadhani hata ukiona mandhari ya miti kwa nyuma unaelewa labda Arusaha, coaster za kwenda moshi