N Ngosha123 New Member Apr 23, 2009 1 0 Apr 23, 2009 #1 Natumai nyote mu buheri wa afya njema. Ni mgeni katika safu hii, nahitaji ushirikiano wenu.
The Farmer JF-Expert Member Jan 7, 2009 1,658 557 Apr 23, 2009 #2 Ngosha123, karibu sana jamvini. Tunategemea mazuri mengi kutoka kwako. This is The Home of Great Thinkers.
Ngosha123, karibu sana jamvini. Tunategemea mazuri mengi kutoka kwako. This is The Home of Great Thinkers.
Next Level JF-Expert Member Nov 17, 2008 3,153 176 Apr 23, 2009 #3 Ngosha karibu sana hapa kilingeni, lakini angalia usije sahau kulala!