tamimusalim
JF-Expert Member
- Jun 17, 2014
- 1,822
- 494
Anaitwa William Henry Gates 3 ingawa wengi upenda au wamezoeya kumwita Bill Gates,ni mtu tajiri namba moja katika dunia yetu kwa mujibu wa mtandao wa forbes na jarida la bloomberg billionaires list 2014 ,na haya ndio mambo nadhani huyajui kutoka kwa bilionea huyu
1. Alitangazwa bilionea akiwa na miaka 32 tu na ilikuwa mwaka 1987
2. Alifukuzwa shule akiwa na miaka13 kwa kuharibu kompyuta ya shule
3. Kabla hajaoaa alikuwa miongoni mwa mabachela wasafi zaidi na wanaojua kutunza nyumba zao
4. Ni mkatoliki mcha Mungu sana
5. Watu wake wa karibu wanamlalamikia tabia yake ya kutopokea simu akipigiwa au kujibu sms,hata mke wake nae amelalamika sana tabia hii ya mumewe
6. Aliwahi kufungwa jela
7. Ni mshabiki mkubwa wa msanii Lady Gaga na Bruno Mars
8. Ametangaza kuwa kama akifa wanawe 3 wasirithi hata sent tano yake isipokuwa utajiri wake wapewe masikini duniani kote
9. Anayachukia sana maisha yake ya kitajiri sababu anashidwa kuishi maisha yake ya kawaida.