Mambo muhimu ya kuzingatiwa katika chama cha chadema,kuepuka shombo ya ccm.

profesa.n.

Member
Apr 23, 2012
84
58
ni dhairi sasa chadema imeko maa kisiasa,kuliko vyama vyote vya kisiasa sasa,uongozi wa chadema unata kiwa kuwa makini na viongozi wa amiaji kutoka chama kilichopo madarakani kuepuka kutulisha ujinga,wana ama nao,kutokana na kua viongozi wengine wa natabia ya kuama ovyo,na hawana msimamo.
 
Nimekusoma - ushauri wako ni wa maana sana! Haya ya CCM yanayohamia kwenye chama chetu yanaweza kutuambukiza magonjwa yao. Kuna tetesi kuwa hata JK anataka kujiunga na CDM - ni kweli?
 
Hakuna la maana tena kikao kimevunjika ngumi zilitaka kupigwa slaa na Zito walinyanyuana mzimamzima kisa Zito hakupata baraka za chama kwenye hoja ya W/mkuu ni aibu stori kamili tembelea uzi yako wapi matokeo ya kikao cha CDM.ni aibu aibu aibu tupu
 
Nimekusoma - ushauri wako ni wa maana sana! Haya ya CCM yanayohamia kwenye chama chetu yanaweza kutuambukiza magonjwa yao. Kuna tetesi kuwa hata JK anataka kujiunga na CDM - ni kweli?

Wahamiaji inatakiwa wasomeshwe na kuelewa sera na misingi ya CDM na wajibu muhimu wa mwanachama na kiongozi wa CDM. Nchi kwanza kinyume kabisa magamba wanavyofanya.
 
Back
Top Bottom