mambo msiyoyajua kuhusu wakristo na waslamu

Naomba nikupinge kuhusiana na 'Ukristo'. Binafsi ni mkristo na ninaujua, ninauthamini na kuupenda 'Ukristo'.

Tofauti na ujuavyo wewe, ukristo ni imani ambayo misingi yake imejengwa kwenye mwamba imara tunaouita Yesu.

Ni imani inayowakusanya watu wa mataifa, makabila, rangi na watu wa tofauti zozote za kimwili unazozijua wewe pamoja kwa lengo la kumtukuza Mungu.

Angalizo; Kwenda kanisani kila jumapili pekee na kutoa sadaka nyingi hakumhalalishi mtu kuwa ni mkristo! Mkristo ni mtu aliyejikana na kujitwika mizigo yake (hata kama ni mizito namna gani) na kumfuata Yesu Kristo kwa kufanya matendo yote aliyoyafanya Yesu. Huyo ndiye mkristo! Yesu hakuwahi kuiba, kuzini, wala kufanya chochote kilicho cha kinyume na mapenzi ya baba yake yaani Mungu. Kama uliwahi kumuona mchungaji fulani akizini jambo ambalo katu sitaweza kukupinga basi huyo hakuwa mkristo! Hata kama ni mhubiri mzuri namna gani. Huyo ni mzinzi!

Wakristo wapo wachache sana duniani na Yesu mwenyewe aliweka wazi kuwa 'Si wote waliao Bwana, Bwana watauona ufalme wa Mungu'. Zaidi ya yote, wewe si hakimu, utahukumu kwa macho zaidi tofauti na hakimu Mungu atakavyohukumu!

Angalizo; si kila mwenye jina la John ni mkristo. Vile vile, si kila aendaye kanisani ni mkristo! Kama ni msoma Biblia mzuri unaweza kukumbuka hadithi ya wafanyabiashara walioligeuza hekalu kama sehemu ya kufanyia biashara. Hawakwenda kumtukuza Mungu bali kufanya biashara!. Hata leo wapo wanaokwenda kanisani kwa lengo la kuficha maovu yao wapate kuonekana watakatifu machoni pa watu. Hao nao ni wakristo?
 
Leo ninapenda kuwafahamisha mambo yakawaida kabisa juu ya waumini wa dini hizi mbili kubwa nchini. Wezi,walevi,na wazinzi( Ukiacha waliookoka) wengi wanatoka katika upande wa wakristo.Zanzibar kuna wizi? Majambazi wengi wanaokamatwa majina yao yana helufi gani? Naomba nisinukuliwe vibaya hapa. Sijasema wote bali walio wengi. Nawaomba wachungaji na mapadri jitahidini kuwahubilia waumini wenu swala hilo ili wabadilike.Maeneo Mengi yanayokaliwa na wakristo yana rutuba sana. Hiyo nenda popote pale duniani. Nenda kenya, Nigeria Marekani na Uangalie ukame uliopo kwa waarabu. Hata hapa Tanzania. Kwa upande wa waislamu Wengi ni wachawi, wavivu na wauaji( kafara na kujitoa Muanga). Mashee Kazi kwenu hapa.Nasubiri kusikia mengi kutoka kwa wachangiaji ila sera za udini Naomba msichangie kwani amchukie mwenzake haendi mbingunni Kwa Mungu BABA.TUPENDANE.

Mmeahaanza kutuletea mada zenu za kujaribu kuwatenga wa Tanzania.
Mwizi muaji au mchawi ni tabia ya mtu binafsi hakuna dini inayotetea uovu! Dini zote zinahubiri matendo mema tu
 
By the way, hata wewe unaowajibu wa kuwahubiria watu ili wabadilike siyo wachungaji ama mapadri pekee kama ulivyosema hapo juu. Kama binti yako ni mzinzi muhubirie na umuombee aache uzinzi. Sikuweza kuzungumzia upande wa uislam sababu siujui vizuri.

Naomba pia ujue kwamba, pamoja na maovu yote yanayotendwa na hao unaowaita wakristo, hakuna dhehebu hata moja linalofundisha kwa kweli habari za Yesu linawafunza, kuwashawishi ama kuwahimiza kufanya hivyo.
 
Mmeahaanza kutuletea mada zenu za kujaribu kuwatenga wa Tanzania.
Mwizi muaji au mchawi ni tabia ya mtu binafsi hakuna dini inayotetea uovu! Dini zote zinahubiri matendo mema tu

Well said mkuu. Thanks for that!
 
Sasa ni lipi hapo tusilolijua? kwamba wote ni wanafiki na mabazazi?

Hamna jipya.
 
Mwanangu tofautisha ukristo na uislamu kama ilivyo mbingu na dunia mf mmoja tu
kwa muislamu kulipiza kisasi anagifagilia kwenda peponi kwa Sababu muislamu anaamrishwa kwamba kisasi haki sijui kama akichukuliwa mkewe naye achukue.

Kwa mkristo kulipiza kisasi ni kujifagilia kwenda motoni kwa maana wanafundishwa kwamba 'mpende hata adui yako'.....'Kisasi ni cha MUNGU'

"Kila amri alizozuiliwa mkristo kwa muislamu ruksa"
Kwa hiyo unacho kieleza hapo wengine wanakuelewa wengine ni sunna
habari ndio hiyo!
 
Mwanangu tofautisha ukristo na uislamu kama ilivyo mbingu na dunia mf mmoja tu
kwa muislamu kulipiza kisasi anagifagilia kwenda peponi kwa Sababu muislamu anaamrishwa kwamba kisasi haki sijui kama akichukuliwa mkewe naye achukue.

Kwa mkristo kulipiza kisasi ni kujifagilia kwenda motoni kwa maana wanafundishwa kwamba 'mpende hata adui yako'.....'Kisasi ni cha MUNGU'

"Kila amri alizozuiliwa mkristo kwa muislamu ruksa"
Kwa hiyo unacho kieleza hapo wengine wanakuelewa wengine ni sunna
habari ndio hiyo!

Wote ni walewale tu..same shyt different toilets.
 
Katika muelekeo huu, inaonekana wapagani ndio watu wema kuliko wanaojifanya wanamfuata mungu!!!
 
Haya mambo ya "Uislamu hivi", "Ukristo vile" ni hapa petu tu na mahali pengine ambako watu wana mawazo mgando, elimu duni, uelewa wa ulimwengu na uchonganishi, iwe wa watu wa dini wenyewe au wana siasa. Mliona Ijumaa iliyopita kule Misri waliposali Waislamu, Wakristo na imani nyengine wote pamoja kuiombea nchi yao? Naamini petu atayethubutu kufanya hivyo wenzake watamtenga kama si kumshushia kisago kitakatifu. Bado tuna safari ndefu.

Watu kwa maslahi yao hudondoa vipande vya aya au tamko na kuwatafsiria wenye mawazo mgando, na wao huingia kichwa kichwa. Mimi ni muumini, lakini sihitaji shehe wala padri kunisomea neno la Mungu. Nimeshaingia misikitini, makanisani, mahekaluni ili kujifunza imani za wengine. Hasara yao wale wanaokubali kujazwa kasumba.
 
Chanzo cha matatizo duniani ni UDINI na wala si DINI. Kwa bahati mbaya mada yako inachochea UDINI, hivyo mimi naiona kuwa ni miongoni mwa matatizo na kero tu kwa jamii.

Kama wasomi tungeleta mabadiriko makubwa katika jamii zetu kama tungekuwa tayari kuwa vinara wa kupinga UDINI.

Nchi hii ni yetu wote, ikitokea fujo ya aina yeyote tutaathirika sote bila kujali dini zetu
 
Jamani sijazungumzia ukristo kwa ujumla. Ninazungumzia idadi ya wqatu ambao wanajiita wakristo lakini sio wakristo Kwa mimi naamini kwa mtu ambaye ni mkristo wa kufiwa na Yesu msalabani hawezi kuwa na mambo hayo noiliyoyasema hapo juu. Ndito maana nilisema isokuwa wale waliookoka. Wewe Unayesema Mpagani Ni bora umgeukie Yesu. Kisha naomba hiyo mada tuiache kwani hapa ninapozungumza nimeshampokea huyu Yesu.
 
Back
Top Bottom