Mambo mpwitompwito

mbweta

JF-Expert Member
Dec 10, 2010
600
81
Jana kuna dada aliinama kwenye daladala sijuh alikuwa anaokota nini huku nyuma nguo ikafunuka kucheki mkanda wa chupi umeandikwa hivo.
 
Jana kuna dada aliinama kwenye daladala sijuh alikuwa anaokota nini huku nyuma nguo ikafunuka kucheki mkanda wa chupi umeandikwa hivo.

Na weweee,swaumu ya jana itabidi ulipizie hata kama sio muislam.Ni brand ya wapi hiyo mwanangu,au haukuona ni madeni ya wapi.
 
Aisee kweli uli-concentrate yaani mpaka ukaweza kusoma sentensi ndefu namna hiyo.
 
Aisee kweli uli-concentrate yaani mpaka ukaweza kusoma sentensi ndefu namna hiyo.

Umeona eeee,na hiyo nguo ilifunuka kwa muda gani au jamaa alikua anategwa sema swaumu ikamuokoa.Yaaani unaambiwa kabisa MAMBO MPWITOMPWITO.uwezi kusoma hayo maneno bila ya kujitingisha japo kidogo.
 
lakini mambo yenyewe kweli ilikuwa mpwitompwito??????????????
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom