mambo mengine bana

Konaball

JF-Expert Member
Mar 11, 2009
2,949
1,940
kusoma nako kunasaidia,jamaa kaenda uarubuni,kataka kuvuta kuvuta segera,mbele yake kuna mwarabuana kibiriti na hajui amwambie vp bac ilimtoka tu give me jahannam

leo nimecheka sana, nimekutana na rafiki yako wa primary amenipa story zako,eti kila mwalim alipokuwa akifuta notes ubaon ww unafuta kwenye daftari...!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom