Mambo mazuri yaliyofanywa na col. JK au chini ya col. JK

Kintiku

JF-Expert Member
Feb 3, 2011
617
319
Ndugu zangu,
Nimekuwa nikisikia na kusoma mengi kuhusu mambo mabaya ( hasi) yaliyotendwa na JK au chini ya utawala wake kiasi kwamba unaweza kujiamnisha kuwa huyu ni rais wa mambo mabaya tu.

Nadhani kuna umuhimu pia wa kumpa pongezi au kutambua mambo mazuri aliyoyafanya. Naomba tusianza kubeza kama huoni jambo zuri basi usichangie: naanza na machache:

  1. Kawafikisha mahakamani ''WALIOKUWA HAWAGUSIKI'' BASIL & CO
  2. Shule za kata zimejengwa
  3. kajenga na kuboresha UDOM
  4. Kaboresha (improve) hospital mbalimbali
  5. Kaendeleza/kaanzisha ujenzi wa barabara
  6. Kaonyesha ukomavu na kutokuwa na kinyongo angalau kwa mahasimu wake; MFANO KUMTEUA Nagu, Mwandosya, Njoolay etc
  7. Kajitahidi kuruhusu uhuru wa kujieleza (maana duu wakati fulani tunampaka hadi tunapitiliza- washkaji hapa sio Marekani hii ni Afrika JK mvumilivu sana
 
haya ni baadhi yakujivunia aliyofanya Col JK :thinking:
 
Attachments

  • image053.jpg
    image053.jpg
    34.2 KB · Views: 58
  • image021.jpg
    image021.jpg
    20.4 KB · Views: 49
  • image018.jpg
    image018.jpg
    54.8 KB · Views: 50
  • image004.jpg
    image004.jpg
    51 KB · Views: 48
Ndugu zangu,
Nimekuwa nikisikia na kusoma mengi kuhusu mambo mabaya ( hasi) yaliyotendwa na JK au chini ya utawala wake kiasi kwamba unaweza kujiamnisha kuwa huyu ni rais wa mambo mabaya tu.

Nadhani kuna umuhimu pia wa kumpa pongezi au kutambua mambo mazuri aliyoyafanya. Naomba tusianza kubeza kama huoni jambo zuri basi usichangie: naanza na machache:

  1. Kawafikisha mahakamani ''WALIOKUWA HAWAGUSIKI'' BASIL & CO
  2. Shule za kata zimejengwa
  3. kajenga na kuboresha UDOM
  4. Kaboresha (improve) hospital mbalimbali
  5. Kaendeleza/kaanzisha ujenzi wa barabara
  6. Kaonyesha ukomavu na kutokuwa na kinyongo angalau kwa mahasimu wake; MFANO KUMTEUA Nagu, Mwandosya, Njoolay etc
  7. Kajitahidi kuruhusu uhuru wa kujieleza (maana duu wakati fulani tunampaka hadi tunapitiliza- washkaji hapa sio Marekani hii ni Afrika JK mvumilivu sana

Mkuu can i just say something here!? ktk orodha yako uliyoitoa the Hon Dk JK cocked it up big time!!! SCHOOLS AND HOSPITALS ARE LACKING RESOURCES AND FACILITIES, so would you call it a success?? my answer is NO!! 2 things i have mentioned above are more important than having millions of schools or hospitals. You build a house or buy a car you really need to make sure that you can run them thats it! you will be stupid if you buy a car without plans of how you gonna take care of it!!
 
  1. Kawafikisha mahakamani ''WALIOKUWA HAWAGUSIKI'' BASIL & CO . Jibu: Lakini hawajafugwa bado na hawa si marafiki zake, hakuna mtu aliyefikishwa mahakamani wakati wa uongozi wake licha ya kashfa za bank na Richmond.
  2. Shule za kata zimejengwa jibu: hazina walimu, hazina hadhi ya shule na zimefanya vibaya sana mitihani ya kidato cha nnne!!.
  3. kajenga na kuboresha UDOM. Jibu Hii imejegwa na Mkapa na siyo JK, vilevile mchango mkubwa umetoka kwa Bill Gates Foundation na IBM. Kama ni kumpongeza Raisi basi tumpongeze Mkapa.
  4. Kaboresha (improve) hospital mbalimbali . Jibu: Hospitali hazijaboreshwa au ku Improve. Hakuna vitanda wa vifaa vya kisasa. Tatizo kubwa la Tanzania ni Afya kwani hatuna vifaa vya kisasa. Mfano nenda Hospitali ya mkoa wa Arusha bale Arusha mjini halafu uniambie ina nini. Hospitali zimeharibika zaidi hata ya wakati wa Nyerere!. Tanzania bado inatumia pesa nyingi kwenye kutibu watu nje na huduma nyingi ni za hospitali za dini na mashirika yasiyo ya serikali kama KCMC, Agha Khan na Bugando!
  5. Kaendeleza/kaanzisha ujenzi wa barabara. Jibu: Hizi barabara zinajengwa na pesa ya Bush $700m na nilikuwa naongea na mtu anayesimamia hizo pesa pale state ya MN kwenye US diaspora Meeting 2010 na alithibitisha hili. Kwa kuogopa rushwa Wamarekani wanasimamia barabara wenyewe na ndiyo maana unaziona. Bush alitoa hizo pesa kwasababu ya maendeleo yaliyofanywa na Mkapa na vilevile kwasababu ya Comoros. Na pesa ya Watanzania ya barabara ya Tanroad imekuwa ya rushwa tupu hadi Magufuli kamfukuza mkurugenzi wa Tanroad. Magufuli alirudishwa kwa shinikizo la watu na si Kikwete kwani yeye ni mtu wa urafiki zaidi
  6. Kaonyesha ukomavu na kutokuwa na kinyongo angalau kwa mahasimu wake; MFANO KUMTEUA Nagu, Mwandosya, Njoolay etc. Jibu: Hawa si Wapinzania kama kweli anataka mabadiliko achague mpinzani kwenye sehemu kama Tanesco.
  7. Kajitahidi kuruhusu uhuru wa kujieleza (maana duu wakati fulani tunampaka hadi tunapitiliza- washkaji hapa sio Marekani hii ni Afrika JK mvumilivu sana . Jibu. HII NI KWELI NA ANAHITAJI HONGERA
 
Kintiku
Ndugu zangu,
Nimekuwa nikisikia na kusoma mengi kuhusu mambo mabaya ( hasi) yaliyotendwa na JK au chini ya utawala wake kiasi kwamba unaweza kujiamnisha kuwa huyu ni rais wa mambo mabaya tu.

Nadhani kuna umuhimu pia wa kumpa pongezi au kutambua mambo mazuri aliyoyafanya. Naomba tusianza kubeza kama huoni jambo zuri basi usichangie: naanza na machache:

1. Kawafikisha mahakamani ''WALIOKUWA HAWAGUSIKI'' BASIL & CO-Hawagusiki na nani?
2. Shule za kata zimejengwa kweli na zinajitahidi kutengeneza Zeeeroos
3. kajenga na kuboresha UDOM
4. Kaboresha (improve) hospital mbalimbali Kweli hadi yeye na viongozi wenzake wanatibiwa Ulaya -
5. Kaendeleza/kaanzisha ujenzi wa barabara Na foleni tunaziona
6. Kaonyesha ukomavu na kutokuwa na kinyongo angalau kwa mahasimu wake; MFANO KUMTEUA Nagu, Mwandosya, Njoolay etc Nani kakwambia ni Mahasimu?
7. Kajitahidi kuruhusu uhuru wa kujieleza (maana duu wakati fulani tunampaka hadi tunapitiliza- washkaji hapa sio Marekani hii ni Afrika JK mvumilivu sana Nami naonaga anavyowavumilia Mafisadi, Wahujumu wa uchumi, wezi wa mali za umma etc
 
1. Ameondoa uhasama wa kisiasa visiwani
2. Mkoa wa Kigoma uliokuwa hauna barabara ya lami hata km 1(Sahau lami kuu kuu ya Lumumba road iliyokuwepo), sasa una km 100 za lami na ameweka taa za barabarani ktk manispaa ya Kgm
3. Ameweka umeme ktk wilaya ya Kibondo na Kasulu ambazo ktk uhai wa wilaya hizo hawajui hataa ladha ya umeme. Soon, utawaka
4. Ni muungwana wa kweli na asiye na makuu. Amekuwa akihudhuria sherehe na misiba hata ya watu wa chini sana
5. Ni Rais pekee anayepokea simu za watu masikini na asiowajua. Ukimtumia msg anakujibu
6. Chini ya JK sheria ya PCCA na Sheria ya mtoto imepitishwa
7.Amefanya uteuzi mkubwa wa wanawake majaji
8. Ni Rais pekee aliyewapa wanawake nafasi kubwa za uwaziri ie Meghji na Migiro
9. NAKADHALIKA
 
Mi naona humu tunasumbuliwa na watoto wa miaka ya tisini c bure.maendeleo gani kaleta mkapa ama kuuza mashirika ya umma yote ili apate mtaji wa kufungua benki M ndo maendeleo? Ama kujiuzia mgodi wa kiwira kwa sh elfu sabini ndo maendeleo?huyu che mkapa where was he when people were stealing money from BOT?
What about meremeta,EPA,DEEP GREEN,RADA,JET Where was he?
Nani alibariki RA awe mweka hazina wa chama kama c mkapa .i hate it when people act lyke flag waving zombie.people should start using common sense instead of acting like they are RETARD.
There is a major COVERUP going ön about some scandals you tok about dowans forget any other scandals that is their purpose at da end they clear this issue and you will be left with nothing to tok about.
 
Nilishatoa angalizo kuwa tuweka mambo mazuri kama tunahitaji mabaya yake threads ziko nyingi tu zimeyataja: Naongezea mazuri mengine:

  1. Hapendi unafiki kawamwaga au kuwaaacha Jenarali Ulimwengu and Dr Lamwai ambapo walikuwa na matumaini kuwa lazima wangenyaka post. Mmoja kati ya hao mnakumbuka jinsi alivyokuwa bize wakati wa kuptishwa JK na CCM Dodoma 2000. Mwingine Kikwete alipopitishwa kuwa mgombea wa CCM alipanda juu ya meza akiwa Bar (Grocery) na kusema shida zangu zimeisha.
 
tatizo watu wamefunikwa na blanketi la chuki kwa hiyo hawaoni mazuri. Hata udom mtu anasema ni ya mkapa. Kweli ukiwa mgalatia ni hasara na umasikini wa kuona ukweli. Hakuna kama jk tangu uhuru
 
Dos Santos,
Tuko pamoja ila usitumie lugha kali na za kubeza, tuende kwa hoja tu. UDOM ni mafanikio ya JK (nukta)
 
Ndugu zangu,
Nimekuwa nikisikia na kusoma mengi kuhusu mambo mabaya ( hasi) yaliyotendwa na JK au chini ya utawala wake kiasi kwamba unaweza kujiamnisha kuwa huyu ni rais wa mambo mabaya tu.

Nadhani kuna umuhimu pia wa kumpa pongezi au kutambua mambo mazuri aliyoyafanya. Naomba tusianza kubeza kama huoni jambo zuri basi usichangie: naanza na machache:

  1. Kawafikisha mahakamani ''WALIOKUWA HAWAGUSIKI'' BASIL & CO
  2. Shule za kata zimejengwa
  3. kajenga na kuboresha UDOM
  4. Kaboresha (improve) hospital mbalimbali
  5. Kaendeleza/kaanzisha ujenzi wa barabara
  6. Kaonyesha ukomavu na kutokuwa na kinyongo angalau kwa mahasimu wake; MFANO KUMTEUA Nagu, Mwandosya, Njoolay etc
  7. Kajitahidi kuruhusu uhuru wa kujieleza (maana duu wakati fulani tunampaka hadi tunapitiliza- washkaji hapa sio Marekani hii ni Afrika JK mvumilivu sana

Hapo kwenye red: Kaongeza zero kwa wanafunzi wa sekondari tanzania hasa shule za kata kwa zaidi ya 80%.
Hiki ni kiwango kizuri mno ambacho hakijawahi kutokea tangu nchi hii izaliwe.
Hongera kwake na kwako unayemshabikia.
 
MKeshaji nakubali, lakinmi si shule zimejengwa- suala la kuzungusha mbona hata kongwe na za binafsi watu wanazungusha. Mimi nadhani huu ni mwanzo mzuri. Kuwa na shule ni bora zaidi kuliko kutokuwa nayo kabisa
 
Sasa hii thread yako inasaidia nini? hata tulipokuwa skuli unapopewa mtihani sio kwamba kufeli lazima ukose maswali yote. lakini ukipata swali moja kati ya mia moja wewe umefeli tu, hakuna muafaka hapo.
 
Ndugu zangu,
Nimekuwa nikisikia na kusoma mengi kuhusu mambo mabaya ( hasi) yaliyotendwa na JK au chini ya utawala wake kiasi kwamba unaweza kujiamnisha kuwa huyu ni rais wa mambo mabaya tu.

Nadhani kuna umuhimu pia wa kumpa pongezi au kutambua mambo mazuri aliyoyafanya. Naomba tusianza kubeza kama huoni jambo zuri basi usichangie: naanza na machache:

  1. Kawafikisha mahakamani ''WALIOKUWA HAWAGUSIKI'' BASIL & CO :A S thumbs_down:
  2. Shule za kata zimejengwa:A S thumbs_down:
  3. kajenga na kuboresha UDOM:nono:
  4. Kaboresha (improve) hospital mbalimbali:nimekataa
  5. Kaendeleza/kaanzisha ujenzi wa barabara
  6. Kaonyesha ukomavu na kutokuwa na kinyongo angalau kwa mahasimu wake; MFANO KUMTEUA Nagu, Mwandosya, Njoolay etc:A S-confused1:
  7. Kajitahidi kuruhusu uhuru wa kujieleza (maana duu wakati fulani tunampaka hadi tunapitiliza- washkaji hapa sio Marekani hii ni Afrika JK mvumilivu sana:A S 41:

Jibu unalo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom