Mambo matano ambayo soka laweza tufundisha juu ya uongozi bora

Ubumuntu

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
14,316
10,782
Salaam,

Nimekutana na andiko la bwana Rajesh Rakani aliloandika yapata miezi mitatu iliyopita juu ya namna ambavyo tunaweza kujifunza kutoka kwenye mchezo wa mpira wa miguu, katika kuboresha uongozi bora.

Hapa nimetumia maneno uongozi bora badala ya utawala bora - katika kutoa maana ya neno good governance.

Andiko lenyewe ni hili:

If there were a prize for the global organizations most tainted with corruption, the International Federation of Football (Soccer) Association (FIFA) would be a strong contender. The inside dealing and lack of transparency, as well as longevity of its aging leadership, is reminiscent of ineffective government in many countries.

But, in spite of FIFA's governance problems, soccer is vital and the most widely followed sport in the world. Soccer works, because unlike so many badly governed public agencies, NGOs, and projects, it gets key things right. How soccer works can provide useful insights for how we think about development.

Soccer and development, while very different, have features in common. Both have purposes or goals to score. Both have rules. Both have someone deciding whether conduct is right, imposing sanctions for foul behavior, and judging the final outcome. And both have actors who need to be motivated and focused. Each, however, handles these features differently.

1) First, the millions of fans across the world who love and follow soccer, entranced with the skill and artistry, understand that while watching is great fun, what matters is the final score.

scoreboardG.jpg


In the short term, you win the game and your team gets three points. In the long term, these points and goals add up, and you move up the league until you win the cup.

2) Second, soccer has developed an extensive set of rules.

Soccer-Referee-Flag-Tips-in-Getting-the-Soccer-Referee-Flags-to-Use.jpg


For those who have grown up with soccer or engaged actively with it, the rules make sense. Importantly, while people argue over the interpretation of rules, the rules are known and not renegotiated while playing the game.

In development, particularly in developing countries, the relationship between the game and its rules is tenuous. In recent years, often in response to donor pressure, several countries have undergone reform. These have produced a raft of new laws, regulations, and institutions. Many of these, such as anticorruption laws and agencies, ethics commissions, and public-expenditure management systems, are meant to strengthen governing.

But the problem is that all this impressive rule-making bears little connection to how people go about their lives. It's not that people lack respect for the rule of law. It's that the zeal for reform appears to have led to "too much too fast," preventing change from taking root. When poorly established, rules fail to fulfill their key function in providing credible and predictable guidelines. It also disrupts development, draining it of creativity, motivation, and a clear-headed strategy.

3) Third, soccer has independent referees.

6a00e54eea3d1c8834012875a0be5a970c-800wi.jpg


No one would think of proposing a game refereed by a player from one or both teams. Yet, in development, where the stakes are higher, that happens much of the time. In many countries, the executive branch is held in check by parliament, but its ministers are also members of parliament. It is not uncommon for heads of state to confer plum assignments to members of parliament. The very cooks are then charged to assess the quality of the food.

Among NGOs and donor agencies, the auditors and evaluators are appointed by the ones they will assess, and that fact is not lost on those who are hired. In soccer, it's simpler. Teams do not get to hire their referees.

4) Fourth, soccer is also transparent.

77079.jpg


For big games, that can mean 60,000 in a stadium, and millions more watching on television.
Public service is a misnomer in most developing countries because it has little public orientation and even less service. Recent studies have shown that absenteeism of public servants is widespread in health and education. This can go on because, unlike soccer, there is no public witness and the officials know they can get away with it.

5) Fifth, what excites about soccer is how the game is played.

image1.jpg


The point is not to devise a plan that anticipates every possible move of the other team, but to coach players on how to read the signs and respond skillfully and quickly. In development, the inability to continually interpret feedback and adapt is a great limitation. Instead of developing sensitive antenna and intelligent response capabilities to deal with uncertainty, development practioners try to figure everything out at the outset, playing god, usually badly, in a contingent, unpredictable world.

The vitality of soccer derives from the clarity of its regulatory framework; a clear alignment of goals, successes, and incentives; and the open-architecture nature of its play.
Soccer as a metaphor for international development may come across as frivolous, but the features that make soccer work may be essential to motivating and realizing success in development. When it comes to solving complex challenges in soccer, development or anything else, play may be just the verb we need.

Euro Cup 2012: FIFA is Corrupt, But Here Are 5 Things Soccer Teaches Us About Good Governance
 
Mtazamo wangu:

1).......what matters is the final score

Hii ni kweli kabisa; katika suala la utawala bora, kitu kinachopaswa kionyeshe kwamba kuna uongozi bora ni matokeo ya mwisho katika kile kinachoongozwa. Kwa mfano, hapa nchini tumekuwa tukiona namna kesi mbalimbali za "vigogo" wa serikali ya sasa na iliyopita wakifikishwa mahakamani kwa mbwembwe za aina zote. Lakini mwisho wa siku, hakuna kinachoonekana kama ni tokeo zuri la utawala bora; kwani washitakiwa hao ushinda kesi zao katika mazingira ambayo suala la uongozi na utawala bora uibua maswali zaidi kuliko majibu.

Pia tumeona mabadiliko ya kila mbwembwe katika nyadhifa mbalimbali za maamuzi serikali; mabadiliko yaliyotokana na kuonekana kwa dalili za uongozi mbovu katika ofisi za umma. Hapa pia bwana Rajesh anataka kutuambia kwamba, licha ya mabadliko hayo katika suala la kuleta uongozi na utawala bora, kinachotakiwa ni matokeo ya mabadiliko hayo yaonekana katika kuleta tija kwa taifa. Tumeshuhudia wizara ya nishati na madini ikikumbwa na kashfa zinazoashiria kuwepo kwa uongozi na utawala mbaya katika wizara hiyo toka enzi za mabadiliko ya Karamagi mpaka kwa Muhongo. Hapa soka linatufundisha tena.

2) Soccer has developed an extensive set of rules

Hapa bwana Rakesh anatuambia kwamba juu ya uwepo wa sheria, miongozo, taratibu na kanuni katika kujenga misingi ya uongozi na utawala bora. Tena anasisitiza juu ya utungwaji na utekelezaji wa mambo hayo kwa kuzingatia matakwa na mahitaji ya wananchi wenyewe - ambapo wananchi watashiriki katika kuzitunga. Hapa Tanzania, tumeona uwepo wa sheria, taratibu, miongozo na kanuni ambazo ukisoma mantiki yake huoni ni kwa namna gani sheria hizo zitamnufaisha mwananchi - sheria, taratibu na kanuni ambazo, naweza kusema ni kandamizi kwa wananchi.

3) Third, soccer has independent referees

Hili nalo ni dhahiri mno katika Tanzania yetu. Tumeona namna gani mihimili ya dola - bunge, mahakama na executive inavyojiamulia mambo ambayo mhimili mmoja umetenda; tena inaamua katika kupendelea mhimili mwingine. Mifano ni mingi; jinsi bunge lilivyotupilia mbali hoja za Richmond, Kagoda, Meremeta n.k. Jinsi mahakama zinavyotumika katika kutoka hukumu zenye kupendelea the executive - mgomo wa walimu, madaktari n.k. Na pia jinsi bunge linavyotumika katika kupitisha bajeti na sheria mbalimbali zenye kuupendelea mhimili wa the executive.

4) Fourth, soccer is also transparent

Hili nalo halina ubishi katika kuwa fundisho katika suala la uongozi na utawala bora kwa hapa Tanzania.
Ingawa awamu hii ya sasa imejitahidi sana katika kuboresha uwazi katika serikali; lakini bado kuna mapungufu, hususani katika sheria ya usalama wa taifa, ya utumishi wa umma na ya habari; kwani bado kuna utata juu ya maana ya maneno secret, confidential na top secret katika taarifa mbalimbali za serikali. Sheria hizi bado ni kikwazo katika suala zima la uwazi wa habari kwa wananchi.

5) .....how the game is played.

Hili nalo lina uhusiano na suala la uongozi na utawala bora kwa hapa Tanzania. Hapa soka linatufundisha juu ya mawasiliano, tena yenye kuelewana baina ya viongozi wenye kujenga misingi ya maendeleo na wananchi wenye kuletewa maendeleo. Hapa tumeona namna ya hawa technocrats - wataalamu wanavyokuwa wanajifanya wao ndiyo wanafahamu nini wananchi wanataka katika kupata maendeleo. Ndiyo maana kuna mifano ya visima kuchimbwa, lakini vinatelekezwa, vinakuwa havitumiki. Mifano ya watu kujengewa vyoo vya shimo, ishara ya kuendelea; lakini vyoo hivyo navyo utelekezwa pia kwa kuwa siyo kipaumbele cha maendeleo kwa watu hao. Mifano ya matrekta kununuliwa na kuozea sehemu yanapouzwa, kwani yanakuwa siyo kipaumbele cha wati wa eneo husika n.k.

Hapa soka linatufundisha umuhimu wa kuwepo mawasiliano katika ya waleta maendeleo na wapelekewa maendeleo katika msingi wa participatory planning and development. Hivyo ndivyo soka uchezwa, ushirikiano katika ya kocha na wachezaji.

Mimi ndivyo nilivyomuelewa bwana Rajesh.
 
Back
Top Bottom