wewe kichaa,hujui nyazifa zinagawiwa kwa kujuana???wewe mwenyewe hapo kwa sababu ni kibara na unatarajia one day walau upate hata viti maalum vya wanaume ili upate.lakini kumbuka wanawake wanavilipia malipo yasiyosahaulika,sijui wewe utalipa na nini?????Hapanam CCN haikuwepo tangu Uhuru. Halafu hao waanzilishi wa Chadema walitokea wapi? huko walifanya nini na wakati wao wako huko nchi ndiyo ilikuwa hohehahe.