Mambo makubwa waliofanya wabunge wa CHADEMA majimboni kwao

miaka 50 tumeweza kujenga barabara za fly overs, nina account new jersey, EPA, Mdee ni kazi yake kupiga kelele kwa ukombozi watz,,
 
Hivi wewe kwa akili zako zote umejitahidi kufiri ukaishia hapa!! wabunge wanachaguliwa kwa ajiri gani?
Mdee ni mwakilishi wa wananchi yuko busy na kulalamika kwenye majukwaa na kuacha wananchi wake hasikilizi hata hoja zetu. Lo!!

Tunataka tushike serikali
 
Hivi nyie hamna hata akili ya kufikiri? hivi mnadhani kila mtu ni mfuasi wa CHADEMA? acheni mambo ya kidikteta. hii inaonesha kabisa wafuasi wa CHADEMA hamna hoja zaidi ya ushabiki tu. Mnataka tukubali wakati sio? Mnaahidi msichokiweza na mmetekwa pasipo hata kufikiri. Mimi sio kipofu lazima tuhoji na mtoe majibu sahihi.

Hapa mnaaza kutukana, hamtoi hoja yoyote. Je tuawaamini tu kwa lipi, hamtoi hoja badala yake mnatoa matusi.
Hivi chadema ni chama cha matusi?

Huu ni ujinga kupelekwa bila kuhoji. Huu ni ujinga.

Hoja yenyewe inatukana then what do u expect,get changed cause now is compulsory,or wait 4 situation 2 change u.
 
Hivi wewe kwa akili zako zote umejitahidi kufiri ukaishia hapa!! wabunge wanachaguliwa kwa ajiri gani?
Mdee ni mwakilishi wa wananchi yuko busy na kulalamika kwenye majukwaa na kuacha wananchi wake hasikilizi hata hoja zetu. Lo!!

Hawa wanaolalamika ni kweli wana haki ya kulalamika kwa sababu kuna matarajio yao hayajatekelezwa na Wabunge wao hasa kutoka chadema. kama walivyozoea
1. hawajaletewa bendi wacheze kiduku
2. Hawajagawiwa Tshirt, kofia wala kanga
3. Kwenye mikutano hawakodishiwi malori, wakitaka kwenda wanatakiwa kulipa 300 ya nauli
4. kwenye mikutano hakuna pilao wala mgao wa elfu mbili mbili

Wabunge wa chadema wanatumia muda mwingi kushughulikia Mabarabara, madarasa, nyumba za walimu, maji, umeme na kuwabana mafisadi tu huku wakisahau mahitaji muhimu ya wapiga kura wao kama hayo 4 hapo juu
 
Hawa wanaolalamika ni kweli wana haki ya kulalamika kwa sababu kuna matarajio yao hayajatekelezwa na Wabunge wao hasa kutoka chadema. kama walivyozoea
1. hawajaletewa bendi wacheze kiduku
2. Hawajagawiwa Tshirt, kofia na kanga
3. Kwenye mikutano hawakodishiwi malori, wakitaka kwenda wanatakiwa kulipa 300 ya nauli
4. kwenye mikutano hakuna pilao wala mgao wa elfu mbili mbili

Wabunge wa chadema wanapoteza muda mwingi kushughulikia Mabarabara, madarasa, nyumba za walimu, maji, umeme na kuwabana mafisadi tu huku wakisahau mahitaji muhimu ya wananchi kama hayo 4 hapo juu

Wanapoteza mda basi for nothing. Ni kama Baba anakuwa yuko busy na kazi kutafutia watoto wake chakula na kutokuwa na muda wa kuongea nao kuwakanya na kucheka nao. Huu ni upuuzi ni mambo ya kibiashara tu kutafuta wateja wapya.

Nothing they are doing sawa?
 
Hvi we Anna unajua uksemacho? Ulitaka Mbunge akufuate nyumban kwako?
Ficha upumbavu wako, Usifiche busara zako.

Ushauri mzuri ila keshakosea kaonyesha upumbavu wake msaidie afanyeje ili aoneshe busara zake baada ya watu wengi tumekwisha soma upumbavu wake?
 
Wanapoteza mda basi for nothing. Ni kama Baba anakuwa yuko busy na kazi kutafutia watoto wake chakula na kutokuwa na muda wa kuongea nao kuwakanya na kucheka nao. Huu ni upuuzi ni mambo ya kibiashara tu kutafuta wateja wapya.

Nothing they are doing sawa?

Yes! You are right kwa kipimo cha akili yako
 
theruthi mbili ya bajeti ni ulaji/matumizi na theruthi iliyobaki ndo maendeleo hiyo ni serikali ambayo haina dira wala maono kwa ajiri ya watu wake.
 
hoja yako haina msingi, unazungumzia CHADEMA kwa muda wao, kwani hao CCM waliokaa muda wote huo tangu uhuru wameleta nini??

wape muda kama uliovyo wapa CCM alafu ndo uwalaumu.


Hapanam CCN haikuwepo tangu Uhuru. Halafu hao waanzilishi wa Chadema walitokea wapi? huko walifanya nini na wakati wao wako huko nchi ndiyo ilikuwa hohehahe.
 
Magwanda wanaposhikwa pazuri huanza kufoka na kulalamika. Jasho kwenye magwanda ya khaki hutoa harufu ya kikwapa.
kipindi hiki cha bajeti nape amewaongezea posho na inabidi mkomae kwani yataibuka mengi huko bungeni na yapaswa mjibu.
 
Kwani hao Mafisadi na Magamba waliokaa zaidi ya miaka 50 ya UHUNI wamefanya nini tofauti na ufisadi? Usikubali tu kila wakati kutumiwa na Mafisadi kuja kupima upepo hapa jf!

ushasema magamba kwani cdm nao ni magamba? wananchi tuliona kasoro hiyo na ndiyo maana tuakachagua upande wa pili sasa hoja ni vipi tuliowachagua wanafanya kazi? pili hebu kuweni na haekima ya kuvuliana na ikiwezekana kujibu hoja si tu kila wakati kuhisi tunaonewa, ukweli ni kwamba wabunge wetu wengi cdm ni wasanii na ninazani ni zama za wasanii.
 
Katika watu wenye mawazo VIZA wewe unaongoza. Wewe ulitaka halima akuletee hela nyumbani kwako? Chemsha bongo yako. Information is POWER. Hawa CHADEMA wamejitahidi sana kutupa taarifa motomoto za madudu serikali inayofanya. CDM imekuwa kama remote control kwa ChamaCha Majambazi wa nchi hii. CDM IS THE ONLY OPPOSITION PART THAT ACTS AS A MONITOR FOR THE CCM. Umenipata hapo? Ukiona kinachofanywa na CCM kwa siku za hivi karibuni ni kutokana na kuogapa kichapo cha CDM.


THINK BIG
Sina hakika kama wewe ni MTU mwema kwa cdm tunahitaji kujipanga na kuwambia ukweli wabunge kwani so far tofauti yao na wanaccm ktk kutuletea maendeleo ni ndogo mno. na pili kumbuka kasoro hizi tunazoziona kwa CCM siku CCM tukipata nchi hii inawezekana kabisa tukashindwa hasa tispojipanga kuperfom kwa sasa, na kwa maana hiyo kasoro itakuja onekana zaidi kuliko kwa hawa ccm. zingatia histori ya maisha inaonekana kuwa kila siku inayokuja watu huona heri ya jana.
 
nimepita cjaona tofauti na annael,kila mtu anaweza kutoa maoni yake ila annael mwisho na mwanzo wa wajinga,wa kuoji
 
Heri wabunge wanaopiga kelele bungeni kwa kuwatetea wananchi kuliko wale wanaouchapa usingizi wawapo huko.
 
wewe huna tofauti na yule Mwenyekiti wa Wazee wa Klabu ya Yanga. UNAongea ***** sana..fanya udadisi utajua waliyofanya, sio kutumiwa na wahuni kuandika uharo huko. ccm wamefanya nn toka 1977?
 
cdm walihaidi 30% wamefanya up2now 10%, ccm walihaidi 70% wamefanya uptnow 8% fanya utafiti uone majimboni .
 
Acha hizo ndoto. kama wameshindwa kidogo je wataweza kikubwa? au ndio kuwa na wabunge wa viti maalumu kutoka sehemu moja? je wanawakilisha nini? Hatakuja kuwaona na kusikiliza wananchi tuwape mda?
je Mdee yuko busy kwa ajili ya nini? wacha hivyo ndugu yangu.

Mimi niulize mambo mawili
1. Unajua kazi ya mbunge wewe?

2. Na je unaona bora CCM waendelee mana Chadema 'wameshindwa' in this short period of time?
 
Back
Top Bottom