Mambo iko CDM, wenye wivu wajinyonge!

Leo hii majira ya mchana, nimeitia mkononi kadi ya uanachama ya CHADEMA na kuitupilia mbali ile ya CUF. na mwaka 2015 nagombea ubunge visiwani hata ule wa viti maalum lazima kieleweke.
card.jpg

M4C idumu milele na milele, na hakika tutashinda!
Zinduna umenifurahisha sana mpendwa...... M4C daima!.......karibu sana kuelekea kwenye ukombozi wa kweli!
 
Last edited by a moderator:
Mh! wandugu mbona no ya hiyo kadi iko chini sana?? 980 kama sijakosea kuisoma. Inamaana pamoja na juhudi zote za M4C ndo bado chama kina wanachama wachache hivyo au imekaaje hiyo.
Ufafanuzi wakuu

wakati wa kupiga kura hatuulizwi kadi mkuu.
this the best ufafanuzi at least for now.
 
Leo hii majira ya mchana, nimeitia mkononi kadi ya uanachama ya CHADEMA na kuitupilia mbali ile ya CUF. na mwaka 2015 nagombea ubunge visiwani hata ule wa viti maalum lazima kieleweke.
card.jpg

M4C idumu milele na milele, na hakika tutashinda!
kufanya maamuzi mazito kama yako si jambo dogo nina maana kuchukua kadi kwa kumaanisha kupenda kuleta mabadiliko ya kweli.

" tatizo haliwezi kutatuliwa kwa kutumia aina ya akili iliyo lisababisha - Peter Msigwa MB, CDM "

HONGERA SANA KWA KUWA NI MMOJA CHACHU YA MABADILIKO YA KWELI HONGERA TENA HONGERA SANA.
 
Back
Top Bottom