Mambo iko CDM, wenye wivu wajinyonge!

Zinduna

JF-Expert Member
Nov 6, 2011
2,378
3,379
Leo hii majira ya mchana, nimeitia mkononi kadi ya uanachama ya CHADEMA na kuitupilia mbali ile ya CUF. na mwaka 2015 nagombea ubunge visiwani hata ule wa viti maalum lazima kieleweke.
card.jpg

M4C idumu milele na milele, na hakika tutashinda!
 
Vijana hivi sasa damu inachemka na wito kwa vijana ni kuhakikisha tunaingia mjengoni mwaka 2015
 
hawa wazee wanajidai macho yamepufuka haoni vizuri herufi sa hata picha hawaoni tutawafanyia operesheni wataona 2
 
Leo hii majira ya mchana, nimeitia mkononi kadi ya uanachama ya CHADEMA na kuitupilia mbali ile ya CUF. na mwaka 2015 nagombea ubunge visiwani hata ule wa viti maalum lazima kieleweke.
card.jpg

M4C idumu milele na milele, na hakika tutashinda!
Karibu mkuu!!!!!!!!
 
.....

Ah! Karibu kamanda!!

Tupukuchue magamba!!

........
 
Mimi mwaka 2015 nachukua likizo nipige kampeni kuiua CCM kabsaaa!! Hasa Jimboni kwa LUKUVI,Wassira na Mwigulu lazima tuwang'oe hawa mafisadi
 
Mh! wandugu mbona no ya hiyo kadi iko chini sana?? 980 kama sijakosea kuisoma. Inamaana pamoja na juhudi zote za M4C ndo bado chama kina wanachama wachache hivyo au imekaaje hiyo.
Ufafanuzi wakuu
 
Back
Top Bottom