Mambo hayooo!

Last edited by a moderator:
mzigo.jpg
Kazi kwenu!

mmmmh. nipo kyurious. hivi hapo anaweza kuingiliwa kweli?

ukute wengi wanaishia mapajani wanadhani wamefika kwenye k.
 
Jamani cacico mie nipo mpendwa si unajua tena mambo ya kuandaa budget ya wizara nyeti lol...........afu nimekununia manake kama kweli ulinimiss mbona hata hujaniDIPU??????......kadogoo siwezi kumfanyia tohara bila mamake wa ubatizo kuwepo.......afu ukinionea Bishanga mwambie anipigie yule mdada aliyeniachia ananisumbua sana hivyo afanye mpango aje amchukue....!
mmmhhh kuhusu Bishanga naomba umpe muda, alisutwa juzi na Zinduna na wanawake wengi tu walihudhuria, kasoro waliolishwa yamini na Bishanga ndio hawakufika Kongosho na mwenzie BADILI TABIA, hata kitoto anachokifukuzia The secretary alikuwepo, alipakwa hina, so anaona noumer kutoka nje, mapaka hina itoke kwanza! jana ilikuwa ndio anua tanga la mdundiko! ila yupo kawa mpoleeee! msalimie kadogoo sana!
 
Last edited by a moderator:
khaaa.....bora umeona....
naomba kuchukua fursa hii, kuyashukuru na kuyasifia macho yako kwa kujua kupembua na kuchuja nafaka! kudos to u! kiuno kinatakiwa sasa kipatiwe tiba, hakipaswi asilani kuumwa! lol! Preta mzima weye?
 
Last edited by a moderator:
Basi ndo ujue sasa hata wenye miili hiyo tunaugua!
Labda kunako hayohayo mazoezi ndiko tatizo lilipoanzia!
wallah tiba yapaswa kupatikana! pole sana, leo umeamkaje lakini? bado chachonyota? au jana ulipata japo kitulizo maumivu?
 
naomba kuchukua fursa hii, kuyashukuru na kuyasifia macho yako kwa kujua kupembua na kuchuja nafaka! kudos to u! kiuno kinatakiwa sasa kipatiwe tiba, hakipaswi asilani kuumwa! lol! Preta mzima weye?
..kijana umepewa lift sasa unataka kupiga honi na kufunga breki...?...unasalimia wake za watu hovyo hovyo eeh
 
wallah tiba yapaswa kupatikana! pole sana, leo umeamkaje lakini? bado chachonyota? au jana ulipata japo kitulizo maumivu?

Huo mchonyoto ndiyo ilikua tatizo la jana!
Leo nimeamka kinapwita! Mpwito ndo umekua mpwito tangu alfajiri!
Sijamuona hata mdau mmoja wa ChitCht angaa patient visitin'
 
mmmhhh kuhusu Bishanga naomba umpe muda, alisutwa juzi na Zinduna na wanawake wengi tu walihudhuria, kasoro waliolishwa yamini na Bishanga ndio hawakufika Kongosho na mwenzie BADILI TABIA, hata kitoto anachokifukuzia The secretary alikuwepo, alipakwa hina, so anaona noumer kutoka nje, mapaka hina itoke kwanza! jana ilikuwa ndio anua tanga la mdundiko! ila yupo kawa mpoleeee! msalimie kadogoo sana!

Mbona hina niliifuta kanichefua kinoma hilo bepari lenu anafikiri wote ni wa kulishwa kauzu kama kongosho na badili tabia
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom