Mambo hayooo!

KARIA

JF-Expert Member
Jan 15, 2011
717
472
mzigo.jpg
Kazi kwenu!
 
Kuweka picha ya JF member hadharani ni kosa kwa mujibu wa sheria za JF.
KARIA Ondoa hii picha ya Zinduna fasta kabla mod Kongosho hajakulamba ban.

Si umeona kama mie nimeweka picha ya cacico lakini iliyopigwa kwa nyuma? Afu cacico ukome kuniita basha.

attachment.php
lol! umeniua mbavu kha! ngoja Young_Master apite maeneo haya, utajieleza, na huyo mtoto ndio kadogoo wa sweetlady kakua, si umeona mama wa ubatizo nilivyo na malezi, lol! nenda kule kwenye kiduku ukajione kwanza picha yako! pipa la petrol bandarini lina afadhali! nimekujibu kule kuwa nimekoma kukuita BASHA kha!
 
Mie yangu macho tu na masikio cacico..........afu ndio nini kunitangazia ya chumbani humu sebuleni?

Mzima wewe?
 
Last edited by a moderator:
Mie yangu macho tu na masikio cacico..........afu ndio nini kunitangazia ya chumbani humu sebuleni?

Mzima wewe?
jamani sweetheart sweetlady umepotea sana, au ulikwenda kumuandalia kadogoo tohara! usimfanyie pulizzzzzzzzzz! mi missed u sana kwa kweli, umemuona kadogoo alivyokuwa, hata shukrani hujanipa umeanza na kunichamba, tupo mwaya!
 
Nitambue ndiyo mie haswaa!
Na unipe mahusiano ya hiyo image yangu na kutoumwa Kiuno changu.
si unaona kuwa huo ni mwili wa mazoezi! nijuavyo mimi mtu kama ni athletic, ye na maumivu ni kama kuingiza nguruwe msikitini! so ndio maana nikasema hivyo.
 
jamani sweetheart sweetlady umepotea sana, au ulikwenda kumuandalia kadogoo tohara! usimfanyie pulizzzzzzzzzz! mi missed u sana kwa kweli, umemuona kadogoo alivyokuwa, hata shukrani hujanipa umeanza na kunichamba, tupo mwaya!

Jamani cacico mie nipo mpendwa si unajua tena mambo ya kuandaa budget ya wizara nyeti lol...........afu nimekununia manake kama kweli ulinimiss mbona hata hujaniDIPU??????......kadogoo siwezi kumfanyia tohara bila mamake wa ubatizo kuwepo.......afu ukinionea Bishanga mwambie anipigie yule mdada aliyeniachia ananisumbua sana hivyo afanye mpango aje amchukue....!
 
Last edited by a moderator:
si unaona kuwa huo ni mwili wa mazoezi! nijuavyo mimi mtu kama ni athletic, ye na maumivu ni kama kuingiza nguruwe msikitini! so ndio maana nikasema hivyo.

Basi ndo ujue sasa hata wenye miili hiyo tunaugua!
Labda kunako hayohayo mazoezi ndiko tatizo lilipoanzia!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom