Mambo haya

kwamwewe

JF-Expert Member
Jul 15, 2010
1,801
541
08_10_e0ctse.jpg
OUTGOING Tarime MP Charles Mwera (right) on Sunday defected to CUF from Chadema and received a card of his new party from CUF Deputy Secretary General Juma Duni Haji (left). (Photo by Yusuf Badi)
 
Tatizo ni uroho na tamaa ya madaraka. Mwera alijiona amepanda chati sana. Inasemekana alichangia hata kuvuruga uchaguzi ndani Baraza la Vijana la Chadema mwaka jana akimhofia kijana mmoja anayeitwa Heche, kwamba eti angekuja muangusha kwenye mbio za ubunge. Yote tisa, pamoja na mbinu hizo bado kaanguka chaaaaaali, yaani tukunnyema mpaka chini. Kakimbilia CUF huko ndiko kajidedisha mwenyieweee.
 
Malechela kaangushwa na democrasia ikachukua mkondo wake................aondoke zake!
 
Back
Top Bottom