Naona hakuna anayezungumzia hoja ya ruzuku. Hata mimi naungana na wanaodhani mtoa hoja katumwa. Atuambie anachokifahamu kuhusu ruzuku ya chadema. Kwa taarifa yako sio tu wilayani bali majimboni ndiko inakopelekwa ruzuku ya chadema. Kama kuna jimbo ndani ya nchi hii halijatengewa mgao wa ruzuku tuelezwe hapa hapa sio kuzusha mambo kishabiki