princess peter
Member
- Aug 31, 2016
- 75
- 45
Hello guys,
Ni kitu gani unapenda kumfanyia mpenzi wako ili aweze kufurahi na kujiona wa thamani kwako.
Ni kitu gani unapenda kumfanyia mpenzi wako ili aweze kufurahi na kujiona wa thamani kwako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unanipa ukakasi kuchangia thread yako PRINCESS PETER.Hello guys,ni kitu gani unapenda kumfanyia mpenzi wako ili aweze kufurahi na kujiona wa thamani kwako.
Hilo nalo neno Lizzy,ukisubiri akusifie utakeshaaNamwambia hawezi pata mwingine kama mimi.
Jamaani mbona unamuita sweat sasa...ni sweetie au sweetheart!...
*Sweat-ni jasho.
huwa NAMRENGA VIZURI (kiterero) au Namla KICHURI