Mambo gani unamfanyia mpenzi wako ili asikukimbie?

Ndevu mbili

JF-Expert Member
Jan 11, 2011
379
40
habari!
Oooooppppsss!
Nmeona jamaa anamuuliza mpendwa wake amuelezee chochote anachohitaji ili atekeleze!
Hivi ni kitu gani kwako ndio kivutio kwa mpenzi wako ili atulie nawe !
 
Mpenzi kumkimbia mwenzake ni hulka na tamaa i.e Kwa mwanaume ni tamaa za mwili ila kwa mdada ni BOTH Mwili na Maisha mazuri.
Kwangu mi silazimishi Akikimbia poa tu ntapata mwenye mapenzi ya Dhati.
 
huwa hili swali linaniumiza sana kichwa na mwisho wa siku na mwambia tu kama unaendelea na mimi poa kama hutaki nendaga tu kwanini ujinyime kwa sababu yangu wakati hunipendi..
 
huwa hili swali linaniumiza sana kichwa na mwisho wa siku na mwambia tu kama unaendelea na mimi poa kama hutaki nendaga tu kwanini ujinyime kwa sababu yangu wakati hunipendi..

I like your psychological thinking. It is good hata kama ni mimi nitatulia na wewe baada ya kauli kama hii. Very creative.
 
mtu akiwa kicheche hata apewe ti.. atatoka na wengine. Ni khulka ya mtu, wengine wanapenda kuchovya tu waonje kila pahali. Na kwa w'ke pia, tamaa na umalaya. Ni kuomba Mungu upate mwenye mapenzi ya kweli atoridhika na ww kwa kila hali
 
Nimetanguliza mguu naona sikanyagi chini, nikatafta fimbo sijagusa kabisa chini,
parefu sana hapa,
 
Usimfanyie ili eti asitoke au asikukimbie,No.
Mfanyie kwa sababu tu ni mpenzi wako na daima anastahili kilicho bora kutoka kwako.

Mambo ya kufanya kitu ili kumkeep mtu huwa mara nyingi yanasukumwa na kitu fulani mfano uchumi n.k mtu anatoa mapenzi kinafiki huku kichwani anajua mwenyewe sababu ya kweli ya kujitoa kwenye mapenzi ni nini.
 
Back
Top Bottom