Mambo gani tena haya kina dada, khaaa???

Mnaosema yuko poa na ni wa kaka,je upo tayari kumuoa je ukiwa nae ukakutana na mzazi wako utakuwa huru kumtambulisha,je utamuamini mdada wa hv katika mahusiano?na maswali mengne mengi 2,

asee ningekuwa kidume hata salam simpatii in short nisingegundua kama nimepishana na binti
tukisema kinadada hampendani mnabisha,Mamza yaani kwa kuangalia picha tu umeshamhukumu binti wa watu kuwa haoleki,hafai kutambulishwa,haaminiki duh! unaonaje ukifungua hapa kitengo cha utabiri ? Flora yaani nipishane na toto hili nisigeuke nyuma ? thubutu wengine vipotabo ndio udhaifu wetu bana,ndio maana we sio mwanamme mpaka upishane na Stella Tingisha ndio ujue umepishana na totoz ?
 
164848_10150089161161871_759026870_6428098_7687075_n.jpg


HII KITU NIMESHINDWA KUANGALIA PEKE YANGU..NI BINTI WA KITANZANIA, KAZALIWA NA MTANZANIA,ANAISHI TANZANIA NA NI MAISHA HAY HAYA YA WATANZANIA..

Biashara bila matangazo haiendi.
Kama vp ange-type na contact chini ya picha tumpromote.
 
Huo ndo ushendo ambao asilimia kubwa husababishwa na ushamba na umalaya.
Mtu wa aina hii hata bwana atampata wa namna hii hasa hawa wana jf wanaoshadadia je kama ni dada yao amevaa hivyo watajickiaje?
Tukemee kwa pmj
 
Mh,naona wadau ss wanabandua picha za watu facebook wanazijadili pembeni; teh teh!
 
jaman wanawake tujaribu kuipa miili yetu thamani kwa kuisitir vizuri,kwan hamuoni twadhalilika kwa kuwa hivyo?
 
Back
Top Bottom