Mambo gani tena haya kina dada, khaaa???

Nimehamasika na huyu dada maana vionjo nivipendavyo kavitundika kunako oolala
 
wana jamii foroum naomba mnisaidie kwa hili"ni kwanini hawa madada zetu kila akipiga picha lazima ayaonyeshe makalio yake"
 
Cheni ya kuazima lazima aonyeshe ili ajulikane kuwa naye anayo. Wnye cheni wala hawaonyeshagi bana! Huu ushamba tuuu
 
Mnaosema yuko poa na ni wa kaka,je upo tayari kumuoa je ukiwa nae ukakutana na mzazi wako utakuwa huru kumtambulisha,je utamuamini mdada wa hv katika mahusiano?na maswali mengne mengi 2,
 
Doh WanaJF hizi mambo za kawaida bana,sema kama ulimkuta ktk mazingira hatarishi na shawishi.Ila kuvaa cheni kiunoni kwa kina dada ni mojawapo ya pambo maalumu sana....Binti umependeza bana,Jiunge JF Celebrity tutakuwa funs wako.
 
Mnaosema yuko poa na ni wa kaka,je upo tayari kumuoa je ukiwa nae ukakutana na mzazi wako utakuwa huru kumtambulisha,je utamuamini mdada wa hv katika mahusiano?na maswali mengne mengi 2,

mdada umenena kuna mambo tunashabikia maadam yako mbele lakini swali linabaki pale pale je unaweza kuongozana nae sehemu mbalimbali hata kwa wazazi akiwa namna hiyo ?>>?>
 
Dada yako nini unamtafutia soko............................................weka conacts kabisa basi tuwe hata madalali
 
wana jamii foroum naomba mnisaidie kwa hili"ni kwanini hawa madada zetu kila akipiga picha lazima ayaonyeshe makalio yake"

Res ipsa loquitur (thing speaks by itself) Mkuu!!!

Its nothing but "invitatio ad offerendum" (an invitation to treat/bargain),

know..da. a. laika. guz. in. a shopo.woo! ( In Naijeria)
 
Eeeh Mungu mhurumie kiumbe wako, dunia imemzidi nguvu. Vile vya bayana anavificha na vya kuficha anaviachia wazi. Shenzi taipu.
 
Ha haaa umezoe dabo diff na mbuzi kagoma kwena zinazouzwa rose garden, kweli ukizoea vya kunyonga bwana vya kuchinja utaomba msaada.
 
Si vibaya kuva chain ila ni vibaya kuonyesha watu. Mtu anaweza akavaa nguo ndefu sana, hata baibui still akawa hafai kutambulishwa kwa wazazi kwa tabia zake mbaya, swala la kwa wazazi ni jingine ofcoz hata huyo akiwa anapelekwa kutambulisha naimani atavaa vitenge. Nadhani hiyo picha alikua club may be.
 
Back
Top Bottom